Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

FourTwoNet

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2022
Posts
1,403
Reaction score
2,749
Asee wakuu, Januari imeninyoosha kinyama. Wueeeh!!!

Fanyeni wepesi!!! Hivi ni maeneo gani ntaweza pata mshangazi wa kizungu!?? Nimfanyie kilimo cha umwagiliaji haraka upesi.

Au niingie mtandao gani nijiachie humo.
 
Screenshot_20260127_171815_Google.jpg

😁Kuna wakati huwa nawaza snaa jinsi maisha yangu yalivyo magumu ila huwa najipa moyo pale napoona kuna watu yamewakanda hadi wanatangaza mitalimbo yao. 😬
Dr am 4 real PhD
Poor Brain
 
Hapo ibungu mabibo relini mbona sijawai kuona hao WAZUNGU.

Au Kuna ibungu inginee..

MamaSamia2025
Labda atafute shangazi aliyejichubua halafu a-assume ni mzungu. Mwaka 2019 pale Ibungu kulikuwa na mhudumu kafungasha makalio ya dunia nzima ila ule mkorogo aliokuwa anatumia ulikuwa unakata stimu vibaya mno. Ibungu ikitajwa nakumbuka mbali sana... nilikuwa mteja wa ile bar kabla hata haijaboreshwa.
 
Mhudumu tena mkuu, wakati mi mwenyewe muhudumu. Nasikia kilimo cha umwagiliaji ndio kinalipa. Nikaona isiwe kesi.
 
Back
Top Bottom