Wapi nitapata soko la pumba za mahindi na mashudu kama unahitaji

Weka Tangazo Vema
Unapatika Shinyanga Mjini
Unauza Pumba Za Mahindi/Mpunga Kwa Debe/Ndoo/Gunia Tshs 100
Number Yako Ya Simu
Una Gunia/Tani Ngapi?

Andika Kama NilivyokuwekeA
Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu kasema kama unahitaji kukusanyiwa sio kwamba anayo
 
Ninachomaanisha mimi sina mtaji wa kukusanya gunia nyingi ila najua mahali zinapatikana kwa bei nzuri kwa kg unapata kuanzia 80,90 mpaka 100 pumba za mahindi mhume@kennedy@Bush Dokta@NNRWA
 
Jf ni kisima cha maarifa lkn si kila mtu anafahamu hii kurasa.

Wasiliana na madalali wa maeneo uliopo wakuambie wafugaji wakubwa uongee nao.

Wengi siku hizi ili kupunguza gharama wanatengeneza vyakula nyumbani hasa kuku na pork.

Unaweza kuwa suplier wao kulingana na demand yao.
 
Asante mzee wazo zuri
 
Sema ukusanye na ulipwe kwa kamisheni kulingana na pumba uliyokusanya . Hata mahindi uwa tunafanya hivyo na wanaotukusanyia mzigo

Back
Top Bottom