Jerry Farms
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 344
- 350
Nielekeze...niende, nikizipata( kwa bei tajwa)....utapata ya chai.Ninachomaanisha mimi sina mtaji wa kukusanya gunia nyingi ila najua mahali zinapatikana kwa bei nzuri kwa kg unapata kuanzia 80,90 mpaka 100 pumba za mahindi mhume@kennedy@Bush Dokta@NNRWA