Wapi nitapata mafuta ya nazi

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,375
8,075
Nahitaji sana mafuta ya nazi (Coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa.

Wapi yanapatikana jamani?
 
Nahitaji sana mafuta ya nazi (Coconut oil) sio yale ya matumizi ya nje ya mwili kama vile kupaka bali yale ya matumizi ya ndani ya mwili kama vile kupikia ama kunywa.

Wapi yanapatikana jamani?
Kama una mtu Tanga mwambie akufanyie maarifa yako mengi sana kule
 
nasikia huko pm watu wengi wanatoka wanalia, inasemekana lakin!!
Hahahaah unaogopa kwenda pm???
Hayo mafuta sijui wapi yanapatikana maana Mimi huwa nikiyahitaji kuna mdau huwa ananitengenezea
 
Back
Top Bottom