Wapi nitapata laptop ya Dell Inspiron 11 3000 series 2 in 1

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
3,197
2,000
Nina laptop ya hivyo kuna mtu aliniuzia, mtoto kaipasua sasa ninahitaji kununua nyingine kama hiyo hiyo wapi ninaweza kuipata?

Au nipate laptop nyingine inayokunjwa kama hiyo mfano wa spectre na ambayo ni slim sana kama hiyo.
Budget yangu laki 7 maana sitaki iwe na processor kubwa maana naitumia kuchapa na kusurf tu hivyo nahitaji iwe inatunza chaji maana hiyo ilikuwa inakaa na chaji mpaka masaa 7

Chief-Mkwawa

LargePNG (1).png
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,100

View attachment 1391828
Kuna fujitsu lifebook sio slim sana ila ni slim kiasi na bei pia sio mbaya 350k ina 4th gen niliwahi nunua Discountkubwa siku si nyingi

Na ukaaji chaji ni wa kawaida.

Kama unataka ukaaji chaji sana na iwe slim unatakiwa utafute angalau 6th gen. Kuna duka fulani linaitwa awale kama sijakosea swahili na uhuru ni la wasomali, wanazo hizi 2 in 1 nyingi na bei zao ni humo humo around laki 6 sema kuwa makini refurbished nyingi zina matatizo unatakiwa uikague kwa umakini, na uchukue warranty ya duka hata miezi 3.

Njia nyengine safe ni kununua mpya ila zitakuwa sio core series bali hizi pentium na celeron. Kwa laki 7 unaweza pata zaa Apollo lake ama Gemini lake, zina nguvu kwa hizo kazi zako, na ukipata yenye ssd ni nzuri zaidi, pia zipo convertible kibao za Hizi pentium na celeron.

Sema uwe makini sana kuna pentium na celeron nzuri na zipo vimeo.

Nzuri sana
Pentium N5000
Celeron N4100
Celeron N4000

Nzuri kawaida
Pentium N4200
Celeron 3450
Celeron 3350

Za kuziepuka
Pentium N3710
Pentium N3700
Celeron N3160
Celeron N3150
Celeron N3060
Celeron N3050
Celeron N3010
celeron N3000
 
Mjasiriamali1

JF-Expert Member
Jun 8, 2009
897
1,250

naomba ushauri chief mkwawa
laptop yenye specs zifuatazo
8gb ram
500gb hdd
2-2.8ghz
i5-i7 generation
budget yangu ni 5k-9k
nia ni kwa ajili ya youtube channel TV, na kuandika vitabu.
je ninunue laptop ipi? aina gani? na wap? niko dar.
kuna madhara ya computer hizi za mtumba toka china wanazo uza bei kubwa kama mpya?
asante kwa msaada.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,100
2,000
naomba ushauri chief mkwawa
laptop yenye specs zifuatazo
8gb ram
500gb hdd
2-2.8ghz
i5-i7 generation
budget yangu ni 5k-9k
nia ni kwa ajili ya youtube channel TV, na kuandika vitabu.
je ninunue laptop ipi? aina gani? na wap? niko dar.
kuna madhara ya computer hizi za mtumba toka china wanazo uza bei kubwa kama mpya?
asante kwa msaada.
Mitumba ya Simu ndio inatoka china, ila laptop hutoka Ulaya/marekani ama Nchi nyengine kubwa.

Kwa 9k Chukua i3 10th gen, Hdd na ram vinaongezekan mkuu. Hii ni kwa mpya.

Kwa mtumba angalia i5 za 8th gen ama ryzen 5 3500u.

Pia ram/hdd visikusumbue sana vinabidilisha unaweza ukawekewa ram 8gb na HDD 1TB lakini kaprocessor kadogo, haitakusaidia kwenye kazi zako, angalia processor kwanza mengine yatafuatia baadae.

Pia kwenye kazi zako angalia
-display nzuri, kama wewe ni content creator vyema ukawa na display yenye rangi zote ikiwezekana iwe angalau 1080p, unaweza pia kutumia monitor ya nje
-keyboard nzuri ya Kuandikia unaweza pia kutumia keyboard ya nje.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom