Driver za Dell laptop inspiron n 5030 kwa OS ya window xp

Driver za Dell laptop inspiron n 5030 kwa OS ya window xp

Cheche Mtungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2010
Posts
2,619
Reaction score
776
Habari wana JF,naomba msaada nina machine ya Dell laptop inspiron n 5030 nataka kuweka OS ya window XP,
Nimeletewa ikiwa na window 7.
1.Naomba Kufahamu kama kuna DRIVERS ambazo ziko compatible na OS ya window xp
2.Kama zipo naomba link yake
Ni muhimu maana naeza nikaanza vizuri wkend kwa kazi hiyo tu!
 
Tafuta software inaitwa driver navigator ina detects driver zote zinazomisi na kuzi download
 
huwa hazikubali windows xp coz its too old!!
 
tafuta driver pack ya dell.... au andika dell drivers and support kwenye google
 
Back
Top Bottom