Wapi nitapata jiko linalopika lenyewe?

Wapi nitapata jiko linalopika lenyewe?

Mkuu sasa si kitakuwa kina kukoga
huko mtaroni ..au hii inakuwa imekaaje..?

Je, kama vipo , utafiti unaoneshaje matokeo
yake hasa unapokitumia muda mrefu na zile
tabia za ki " #bwabwa " ..hivi kweli una salimika
kweli .

lipo ila nishati yake.... inapatikana kwa kulikalia ..... joto unalotengeneza hapo ndo linatumika kujipikilisha
 
Lipo pressure cooker, linapika wali, maharage, nyama, na nafaka nyengine ngumu. Kama ni maharage inasaidia kutoka state ya ugumu hadi kuwa malaini kwa ajili ya kuunga then vilivyobakia unafanya mwenyewe same kwa nyama na hivyo vyengine.

pressure-cooker-diagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom