Wapi nitapata jiko linalopika lenyewe?

Wapi nitapata jiko linalopika lenyewe?

Kaundime2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1,085
Reaction score
461
Nasikia kuna jiko linasonga ugali lenyewe, hapo hapo linapika wali na linasehemu ya kupikia mboga, pia lina friji sijui oveni ya kutunzia chakula kiendelee kuwa cha moto. Vyote hivyo vinakuwa kwenye jiko moja tu. Halafu sijui inatumia umeme au gesi au mkaa sijui kuni mie sijui kwa kweli.

Nilisikia kwenye daladal watu wakiongea mi nikawa nakaribia kushuka. So sikuelewa vizuri.

Mwenye ufahamu tafadhali nisaidie maelezo kamili na wapi pa kulipata, bei n.k
 
aaagghhh ebu ngoja nimuulize mjomba kwanza kama anajua,subiri jibu.
 
mtafute konda wa hiyo daladala umuulize huenda alikuwa makini na hatima ya hayo maongezi (Ushauri wangu tuu)
japo we n mzembe usungeshuka mapema
 
Juzi mama mmoja alikuwa anatembea kwa mguu akagongana na daladala, lile gari lilipondeka mbaya, yule mama hakuumia lolote watu wakabaki wanashangaa mwili WA mwanamke kuharibu gari kiasi kile
 
Kweli yapo mkuu. Ni mazuri sana yanatumia kuni
 
mmh sijawahi sikia kitu kama hicho
 
Nasikia kuna jiko linasonga ugali lenyewe, hapo hapo linapika wali na linasehemu ya kupikia mboga, pia lina friji sijui oveni ya kutunzia chakula kiendelee kuwa cha moto. Vyote hivyo vinakuwa kwenye jiko moja tu. Halafu sijui inatumia umeme au gesi au mkaa sijui kuni mie sijui kwa kweli.

Nilisikia kwenye daladal watu wakiongea mi nikawa nakaribia kushuka. So sikuelewa vizuri.

Mwenye ufahamu tafadhali nisaidie maelezo kamili na wapi pa kulipata, bei n.k

Njoo kwangu ulione hilo jiko, lipo simple na linapiga kazi wakat wowote
 
Mmmhh.....mwenye nalo asisahu kutupia na kapicha ka kisela
ili walau tuoshe kope zetu hizi na tongo tongo zilizojaa
machoni petu.

Maana kuna siku mwingine atakuja hapa na kutaka bafu linalo
kuogesha na kukupa huduma zile muhimu za chooni huku
wewe umesimama tu.

vyoo vinachamba mtu automatocally vipo
 
....lipo la umeme na la gas, kama unahitaji nipm.
 
Hilo jiko likipatikana mnitag labda nami ntalinunua lol
 
vyoo vinachamba mtu automatocally vipo

Mkuu sasa si kitakuwa kina kukoga
huko mtaroni ..au hii inakuwa imekaaje..?

Je, kama vipo , utafiti unaoneshaje matokeo
yake hasa unapokitumia muda mrefu na zile
tabia za ki " #bwabwa " ..hivi kweli una salimika
kweli .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom