Wapi Nitapata Hii Makitu??

ni msimu mwingine wa mvua umefika, naomba kuwauliza wenzangu wapi nitapata mahindi ya kuchoma?? Mwenzenu ni mpenzi sana wa hii makitu...

kwani wewe unaishi sayari ya mars??????????Kama ni hapa duniani ya yanapatikana kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…