Wapi nipate power bank orginal?

Yeah for sure iko vizuri sana...inatunza moto sana
 
Mkuu mi nilizitumia enzi hizo hakuna sana simu za fast charge, ilikua ni ngumu sana kupata Power Bank ijaze smart phone mara 2

Labda kama una simu ya fast charge na kama power bank ina support nahisi inawezekana
Za kisasa ziko vzr
 
Bongo kuna oraimo original kwa sh 45K yenye 10000mah
 
Okay mkuu kupitia wewe nimewatafuta Instagram wapo Mwanza wananiambia power bank 27000mh kwa 85k sijui napigwa mkuu.
Usiangalie tu hizo MAh ..hio powerbank ina sifa nyingi sana kwanzia ant scratch na vitu vingne...

Ina mfumo wa power delivery almaharufu kama PD maswala ya quantity charge QC...unaweza icharge kwa watts 18 pia unaweza toa watts 18 ukachajia device zako za type C ..upande wa 5v inatoa 3A ambayo ni kubwa simu pekee ninayojua inapokea 3A ni huawei flagship moja hivi zingne ziko kwenye 2A kushuka chini

Japo zingne zinapokea volt 9 kwa 1.67A

Hizi kina infinix smart 5 sijui zipi zipi ni 5V na 1.3A

Mimi simu yangu inakubali 2A na inaonesha kabisa current inayoingia ..kwa hio powerbank yoyote ya oraimo kwangu inapeleka fasta hata nyie wenye simu za type watts 15 kuendelea unachukua ile oraimo yenye fast charging utakuta imeandikwa watts 18

Me nataka nunua yenye 10000mah week hii kwa 45K bei ya insta sijajua huku wataniuzia ngap

Kuhusu bei hio ya elf 85 ninsawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…