Wapi nianike Chupi yangu?

pole kwa yote yaliyokukuta. Lakina kuanika chupi kwenye bafu la pamoja kt nyumba ya kupanga ni kukosa nidhamu, ndo maana jirani alikukomesha. Pili uliingiaje bafuni/ chooni huku mke wa jirani akioga?
 
ha haaa, best hala hala hiyo wiki panya asiingie kwenye hiyo dust bin, mbona itakuwa majanga! chupi za wiki nzima!
 
jf kuna kamba za kuanika muulize Baba V akuelekeze eneo la tukio
 
Last edited by a moderator:
sisi watu wa gahwa tunavaa msuli tu tena tunakwenda comando kama unaweza Bujibuji jaribu kuvaa msuli na usivae kitu ndani halafu katiza barabara ya Jangwani utajisikia raha kweli
 
pole kwa yote yaliyokukuta. Lakina kuanika chupi kwenye bafu la pamoja kt nyumba ya kupanga ni kukosa nidhamu, ndo maana jirani alikukomesha. Pili uliingiaje bafuni/ chooni huku mke wa jirani akioga?

Bujibuji inaelekea huyo mke wa mpangaji mwenzako anakuzimikia kiaina, sipati picha kufanya chupi ya mtu especially mwanaume dodoki! Nyumba za kupanga zina siri kubwa, au jirani akiwa kazini unakuwa na ukaribu fulani na mkewe?
 
Nikakumbuka miaka ile ninasoma Marangu Sec, tulikuwa tunaanika chupi mwisho wa kitanda, June/July wakati hazikauki hata siku tatu. Hii ilichangia sana wizi wa chupi.
 
Faida za kutovaa pichu:
Unapunga upepo full time
unaokoa muda wa kuvua na kuvaa
unaokoa gharama za kununua, kurepair na kufua
 
Nikakumbuka miaka ile ninasoma Marangu Sec, tulikuwa tunaanika chupi mwisho wa kitanda, June/July wakati hazikauki hata siku tatu. Hii ilichangia sana wizi wa chupi.
ewww!! gross

Faida za kutovaa pichu:
Unapunga upepo full time
unaokoa muda wa kuvua na kuvaa
unaokoa gharama za kununua, kurepair na kufua
i can't imagine NOT wearing undies. i used to spend a lot of time getting those flashy/cool designs. there was a brand i used in 2010 but i forgot the shop niliponunua. I've given up on ever getting them again :disapointed:
 
ha haaa, best hala hala hiyo wiki panya asiingie kwenye hiyo dust bin, mbona itakuwa majanga! chupi za wiki nzima!
kwani chupi za wiki nzima ni ngapi dear? sometimes sivai ujue ...unaweza kukuta moja tu niliyoendea kanisani
 
\
ahahahah duh hiyo kali,sasa huko chooni huku gonga umeingia kama unaingia kwako? na huyo mpangaji mwenzio ungemwambia kama lile dodoki alokua akijisugulia ni lakwako...
 
\
ahahahah duh hiyo kali,sasa huko chooni huku gonga umeingia kama unaingia kwako? na huyo mpangaji mwenzio ungemwambia kama lile dodoki alokua akijisugulia ni lakwako...
promiseme hujawahi kubanwa na mchafuko wa tumbo? Hauna adabu mchafuko huo ni noma
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…