Wapi naweza pata samaki kwa bei ya JUMLA?

Wapi naweza pata samaki kwa bei ya JUMLA?

Serendipity

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2009
Posts
486
Reaction score
45
Natafuta samaki SATO na SANGARA kwa bei ya jumla.Mahitaji yangu ni Sato kg 120 Sangara kg 120 kwa wiki. Napendelea zaidi Samaki wa Msoma. Nipo kigamboni
 
Hakuna mji au kijiji kinachoitwa Msoma kwa hapa Tanganyika/Zanzibar.
Ila kuna mji unaitwa Musoma ndio huo unao maanisha?
 
Ndio mkuu, sio kijiji Luna sato wa Msoma au Kutokea Mwanza
 
Natafuta samaki SATO na SANGARA kwa bei ya jumla.Mahitaji yangu ni Sato kg 120 Sangara kg 120 kwa wiki. Napendelea zaidi Samaki wa Msoma. Nipo kigamboni
Weka namba nikuunganishe na mtu
 
Kumbe samaki wanatofautiana kulingana na eneo pia, why Sato,Sangara wa Musoma na si Sato,Sangara wa Mwanza?
 
Back
Top Bottom