kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Asanteni😊🙏
Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni
Dah! Why unawaza hivyo mkuu😁😁Bila shaka umepita na waleti ya myunani kutoka ugiriki 😆
Dah! Jamani nimeokota dollar2 😁😁😁Bwana yako mpya ameanza kukupatia visenti 😂😂😂😂
Akili yangu inaniambia wewe sio mtu wa kispotispotiDah! Why unawaza hivyo mkuu😁😁
Upo dar sehemu gani ili tukuekeleze sehemu iliyo karibu. Binafsi napendelea mlimanj city KADOOHabari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
Dollar 2 achana nazo weka tu makumbusho sababu ni hela kidogo mnoDah! Jamani nimeokota dollar2 😁😁😁
Zipo sehemu zaidi ya milioni, swali la kijinga kabisa.Habari za asubuhi wana jukwaa, poleni na mfungo wa Ramadhani na Kwaresma, naomba msaada wa kufahamishwa wapi pa kubadilishia fedha za kigeni kwa hapa Dar.
Asanteni😊🙏
🤣🤣🤣 Binti Sayuni03 ya kweli hayoBila shaka umepita na waleti ya myunani kutoka ugiriki 😆
Usimsikilize huyo nimepewa zawadi na mzungu kwa kumuelekeza njia😁😁🤣🤣🤣 Binti Sayuni03 ya kweli hayo
Hamna mkuu sipo hivyo hata nimepewa zawadi na mzungu😁😁Akili yangu inaniambia wewe sio mtu wa kispotispoti
Mh! Nielekeze wanapobadili niende mwenyeweNjoo Pm unielekeze mtaa unaoishi usiku ntakuja kukubadilishia hapohapo nyumbani
Sijui zilipo mkuu ningekuwa najua nisingeulizaHahaha ila wew dada…kwani bureau huzijui?!
Sizijui mkuu ziko maeneo gani?Zipo sehemu zaidi ya milioni, swali la kijinga kabisa.
Asante mkuu nitaenda hukoNenda mlimanq City au kariakoo office ya kandoo beurde currency exchange