Nimeibiwa simu jana usiku nimeshatengeneza loss
Mkuu simu gani ina slot za line zote hizo au kuna mahala sijaelewa?line nilizopoteza ni
TTCL
TIG
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL
Umeniwahi! Na mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Umeibiwa simu.ina laini Sita ama kuna kitu sijakirlewa?Mkuu simu gani ina slot za line zote hizo au kuna mahala sijaelewa?
Ile hela tuma kwenye namba hii… jina lita kuja…Umeniwahi! Na mimi nilitaka kuuliza hivyo hivyo. Umeibiwa simu.ina laini Sita ama kuna kitu sijakirlewa?
Upo mkoa gani,kama ni nenda milimani city au Airport huduma masaa 24Habari wadau
Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani
line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL
Natanguliza shukrani za dhati
Ungekua Mbeya kuna vijana wapo pale stand ya mwanjelwa na kabwe wanarenew au waulize wale mawakaka wanaoweka miamvuliHabari wadau
Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani
line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL
Natanguliza shukrani za dhati
Mpaka Sasa Hivi Hajasema Yupo Wapi Asaidiwe UelekeoUngekua Mbeya kuna vijana wapo pale stand ya mwanjelwa na kabwe wanarenew au waulize wale mawakaka wanaoweka miamvuli
Kweli tuko uchumi wa kati yani viwanda vyetu vina uwezo wa kutengeneza cm unayotumia line 6Habari wadau
Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani
line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL
Natanguliza shukrani za dhati
Kama upo hapa Segese Kahama njoo vodashop tuko waziHabari wadau
Nimeibiwa simu jana usiku. Nimeshatengeneza loss report naomba kujuzwa wapi nawea ku-renew line siku ya Jumapili customer care kabisa achana na hawa mawakala wa mtaani
line nilizopoteza ni
TTCL
TIGO
HALOTEL
SMILE
VODACOM
AIRTEL
Natanguliza shukrani za dhati
Umetisha mkuu, hapo itakuwa unazungumzia darUpo mkoa gani,kama ni nenda milimani city au Airport huduma masaa 24
Mbona katoa muongozo mkuu, hataki wahivyo anataka ofisiUngekua Mbeya kuna vijana wapo pale stand ya mwanjelwa na kabwe wanarenew au waulize wale mawakaka wanaoweka miamvuli
Itakuwa kaibiwa simu zaidi ya moja au line nyingine aliweka katikati ya kava na simuMkuu simu gani ina slot za line zote hizo au kuna mahala sijaelewa?