Kimekuwa libaya tena??hila kuna pub kabla ya godys kuna vidada vizuri vinauza km sema nimesahau panaitwaje
Duh wanaArusha mnaniangusha wote mmeshindwa kumsaidia U_S.
Mbuzi katoliki wa ukweli anapatikana Sekei ulizia sehemu inaitwa Apache.
hunters..., sakina, njia ya kwnda 2000, kuna dada mkenya pale anaitwa aziza au halima(jina lisikutishe)...,
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.Kichwa cha habari kinauliza wapi utapata. . .
Mwili wa habari unasema Arusha haipatikani na kumalizia na swali.
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikananimeifungua kwa mbwembwe ili nimuelekeze nilichokutana nacho kimenipa usingizi
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.sasa heading na alichoandika ndani vinaendana kweli?basi na mimi atakuwa ameniacha kama lizzy
pub la monie hapo ndugu ila hakuna kitimoto kuna mbuzi na kuku.Halafu spare me,kuna vidada lakini sio vizuri
Aaah km anataka cha ukweli aende pale The Hunters ataenjoy sana, ni pande za Sakina mbele ya Sakina Bar.mianzini mkuu! Kipo cha ukweli pale kaka!
Mimi naenda Pub La Monie ila nitaomba unihudumie wewe kwa kuwa vidada vibaya, HOW MUCH?
JF imejaa videmu vibayaaaa kwa sura na vina vikwapa na m'ba mpk makwapani. Hivi kujishaua ndio kutawafanya muolewe au?!
Huyu kidume kauliza juu ya kiti moto na nafikiri alieleweka lkn kwa kuwa swali lake halina muelekeo wa kuwatongoza basi basi kukakucha:
Wa kwanza:
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.
Wa pili:
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikana
Wa tatu:
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.
Wewe mwenye miguu ya kushoto ndio huna adabu kabisa. Hiki kingine chenye avatar ya kuingiza mkono kwenye joto nakasamehe bure maisha ni magumu yanakiendesha mbio, ila huyu wa kufuata mkumbo namsikitikia kwani hawa anaowafuata mambo yao ni makubwa kuliko uwezo wake wa kuiga.
pub la monie hapo ndugu ila hakuna kitimoto kuna mbuzi na kuku.Halafu spare me,kuna vidada lakini sio vizuri
sikumaanisha imediately bedore godys...mmoja yapo ya vile vipub
si ndo kama wewe sasa mkuu? manake bandiko la mleta mada linaeleweka vizuri, japo ni kwa sentensi moja tu ambayo we imekuacha porini, haha!
JF imejaa videmu vibayaaaa kwa sura na vina vikwapa na m'ba mpk makwapani. Hivi kujishaua ndio kutawafanya muolewe au?!
Huyu kidume kauliza juu ya kiti moto na nafikiri alieleweka lkn kwa kuwa swali lake halina muelekeo wa kuwatongoza basi basi kukakucha:
Wa kwanza:
muangalie yeye sasa, miguu ya kichaga myembamba na yote miwili ni ya kuchek..I mean kushoto.
Wa pili:
Kamejinadi kamepata usingizi lkn baada ya kuona wanaume zaidi wameingia kameghairi kulala na sasa hakana tena complain, kanachangia. Uhakika wa kutongozwa umepatikana
Wa tatu:
Haka hata kujitongozesha hakajui, kanategemea left overs za wenzake. Hata kutongozwa nako kwa kufuata mkumbo.
Wewe mwenye miguu ya kushoto ndio huna adabu kabisa. Hiki kingine chenye avatar ya kuingiza mkono kwenye joto nakasamehe bure maisha ni magumu yanakiendesha mbio, ila huyu wa kufuata mkumbo namsikitikia kwani hawa anaowafuata mambo yao ni makubwa kuliko uwezo wake wa kuiga.
una akili sana mkuu.
I wish ungekuwa karibu nikupe ofa ya soda.