Hivi ndo kusema huyu ‘jasusi mbobezi’ keshaacha kugombea urais?
Kuna taarifa rasmi labda iliyotolewa kuhusu yeye kutokuwa mgombea tena ambayo labda mimi sikuiona?
Manake yuko kimya sana.
Alitangaza mwenyewe kuhusu kimbunga cha ACT na kwamba hakizuiliki.
Au hicho kimbunga kimeishia kumsomba yeye mwenyewe?
Huyu mtu bado anagombea au hagombei?
Halafu yuko wapi?