Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

Acha kutisha watu haya matusi yako wala hayana nafasi hata kidogo,uhalifu mfanye wenyewe then mjifanye mnahasira usituletee kisirani mkuu.
Uwezo wa kumtisha mtu huwa sina ndugu yangu!
Nilichofanya ni kujenga mazingira ya wazi kumwonesha mleta mada kwamba mada yake inajenga hisia kama hizo!
Haziepukiki, hazizuiliki!
 
Kwa ushabiki huo usio na maana watanzania tunapoteza mwelekeo. Sikutarajia mtu mwenye busara kuzungumzia intelligence aliyonayo Dr slaa na badala yake watanzania tungeungana kulaani ugaidi huo. Watanzania tuache kushabikia ujinga, huo utatugharimu wenyewe
 
Nikisema wale wenye Intelijensia ya juu kama US uwa wana panga wenyewe mashambulio nitakuwa nimekosea? same applies to CHADEMA.

If you say and believe in this then you are living on borrowed time and brains!
 
Umeendika na kujionesha kwamba pa1 na uwezekano wa wewe kuwa umepitia madarasani; bado hukuweza kufuzu contextual analysis!
Kusoma yaweza kuwa lazima ILA kutafakari is ana OPTION-na hilo ndilo limekusumbua kwenye mada hii!
Kusema Intelijensia ya DR.SLAA imeonesha udhaifu tena kwa kejeli INAKUWEKA katika kundi la waliopanga na kutekeleza tukio hilo...!
KWA NINI?
Kwa sababu ULIPANGA NA KUTEKELEZA TUKIO ILI IONEKANE INTELIJENSIA YA DR.SLAA ni uzushi!
ILI IWEJE?
Ili wananchi wasimuamini yeye binafsi na CHADEMA
Sema tu Polisi wa nchi hii hawatumii SITUATIONAL GAP FILLERS la sivyo ushatiwa nguvuni!
UNATIA HASIRA NDUGU YANGU!
bOMU.jpg


DAUDI.jpg
 
Hamy D ulitupa bomu ili kujaribu inteligensia ya DR? Polisi waifanyie kazi kauli yako.
 
Hamy D ulitupa bomu ili kujaribu intelijensia ya Dr.? Polisi ifanyieni kazi kauli ya huyu jamaa.
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

911 ya kule marekani ilitokeaje wakati wanA CIA na FBI?
 
Mi nafanya siasa Burudani na sio maisha. Siasa za bongo ukijifanya mkereketwa utaugua magonjwa ya moyo. Hapa hili bomu ni changa la macho tu, mnahudhunika hapa jf wanasiasa wanachias.
 
Back
Top Bottom