Hapa sijengi kejeli, kuna hoja nzito ndani ya hayo maelezo imejificha, na siwezi kuiweka wazi kwani najua impact yake, lakini kwa watu makini wataelewa ni hoja gani ipo ndani ya huu uzi.
UTAKUWA na tatizo lisilotibika maana katika hali kama hii haikutegemewa ulete UPUMBAVU wa namna hii..
Hta hivyo,NINGALIKUWA POLISI wa nchi hii NINGALIKUTIA nguvuni ili uisaidie POLISI kwa sababu MADA yako inaonesha mipango ya kulipuliwa bomu ilikuhusisha ILI TU UONESHE KWAMBA INTELIJENSIA YA DR. SLAA haiwezi kazi NDIYO MAANA MMEWEZA KULIPUA BOMU; na kama haiwezi kazi, IONEKANE YEYE NI MPUUZI na si yeye tu bali CHADEMA kama chama!
Si ndicho unachokilenga??????????
Acha kutisha watu haya matusi yako wala hayana nafasi hata kidogo,uhalifu mfanye wenyewe then mjifanye mnahasira usituletee kisirani mkuu.UTAKUWA na tatizo lisilotibika maana katika hali kama hii haikutegemewa ulete UPUMBAVU wa namna hii..
Hta hivyo,NINGALIKUWA POLISI wa nchi hii NINGALIKUTIA nguvuni ili uisaidie POLISI kwa sababu MADA yako inaonesha mipango ya kulipuliwa bomu ilikuhusisha ILI TU UONESHE KWAMBA INTELIJENSIA YA DR. SLAA haiwezi kazi NDIYO MAANA MMEWEZA KULIPUA BOMU; na kama haiwezi kazi, IONEKANE YEYE NI MPUUZI na si yeye tu bali CHADEMA kama chama!
Si ndicho unachokilenga??????????
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.
Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.
Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?
Mkuu si wao wenyewe wamepanga kulipua hilo bomu ili kutafuta huruma ya wananchi baada ya kuona upepo umekuwa mbaya Arusha
Hata wale wenye intelijensia ya juu kabisa kama USA hulipuliwa pia sembuse Dr Slaa? Wakati mwingine jaribu kutafakari kabla ya kumwaga mawazo yako mfu hapa JF
Vijana wake ndio waliotekeleza hili tukio.intelligensia inaonyesha hivyo
Hapa sijengi kejeli, kuna hoja nzito ndani ya hayo maelezo imejificha, na siwezi kuiweka wazi kwani najua impact yake, lakini kwa watu makini wataelewa ni hoja gani ipo ndani ya huu uzi.
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.
Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.
Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?
Hivi unashindwa kuwa na a wafubinadamu hata chembe? ipo siku utayajibu haya kwa muumba wako, na kifo hakina upendeleo wewe ni Marehemu mtalajiwia Mungu ndio anajuwa utakufa kwa style ipi. endeleza kejeri nyuma ya keyboard siku yako itafika tu.
Hapa maana yako ni nini hasa?
Inadaiwa CCM kwa kuwatumia polisi wako nyuma ya tukio hili. Je, ina maana wamefanya tukio hili la kuumiza na kuua jamaa na ndugu zetu ili tu kuipima "INTELENJENSIA" ya Dr. SLAA?
Hapa kuna matatu;
1. Wenda Dr Slaa ni mzushi na hana intelijensia yoyote ile, sema uwa ana jibalaguza kwa wananchi kuwa CHADEMA imekamilika.
2. Kama intelijensia ipo, basi waitupilie mbali kwani imethibitisha kushindwa kufanya kazi zake za kukilinda chama, hasa kwenye mikutano ya hadhara, kwani ilipaswa intelijensia iwe na taarifa zote za kiusalama.
3. Wenda intelijensia ya Dr Slaa ni sehemu ya ilo tukio, kwani haya mambo yapo. Mfano, zipo serikali ambazo zinapanga matukio ya kigaidi ndani ya nchi ili kujenga hofu kwa watu, and then wanajifanya kuyakomesha ili iwe mtaji wa kisiasa. Hapa CHADEMA wamefanya hivi ili wapate public sympathy then wapate kura.
Lately, ndio hypothesis nilizo nazo kuhusu intelijensia ya Dr Slaa.
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.
Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.
Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.
Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?
Hizi hoja nyingine muwe mnafikiri kwanza kabla ya kuzileta humu. Unataka kuniambia Dr. Slaa ana intelijensia kubwa kuliko USA? Mbona wanalipuliwa?