Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

Wapi intellijensia ya Dr Slaa?

Chadema iko makini ndg.wahusika watatajwa hadharani muda c mrefu,kuna tetesi kuwa tukio hili limepangwa na genge la watu 8 wakiwewo mkuu wa mkoa wa arusha na mwigulu nchemba.
Embu weka ushahidi?
 
Ni ujinga kutaka la milipuko Arusha liwe managed na Dr. Slaa au CDM....................
 
Wewe jamaa nikuite mpumbavu sina mda wa kukuelimisha kwa ushuzi ulioandika umetiwa kiwewe kama chama chako ccm kilivyo na kiwewe mda huu
 
Mbona JK alipigwa mawe tunduma inteligentia ilipolea wapi?Mbona kagame alishika gaidi aliyekuja kwa mwaliko CCM nchini wakati akirudi wakamdaka mpakani na kuwakilisha mahakama ya kimataifa?

Soon Kagame ataleta mamluki wa kudeal na CCM tuu.
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

Sidhani kama ni busara kutoa kauli kama hizi hasa kipindi ambacho bado watu wana machungu na majonzi ya ama kupotelewa na ndugu zao au kujeruhiwa.

Kwa hiyo point yako unayosema imejificha ni ipi?

1. Kwamba Dr. Slaa ni muongo kuhusu intelijensia yake?
2. Tukio hilo limefanywa na CDM ndio maana hawakuliona?

Itakuwa vema sana kama utatoa vigezo vya uchambuzi wako kuhusu maoni yako, na kumbuka uchunguzi/upelelezi bado unaendelea na sidhani kama unajua CDM wanamikakati gani kuhusu kilichotokea.
 
Ahaa...kumbe lengo mojawapo lilikuwa kupima 'intelijesia' ya watu flani!!
haya wamekufa na kuumia wasio na 'intelijensia', ambao ni wajibu wa serikali kuwalinda.

mkuu pima kwanza kauli zako. si wakati wa kejeli kwenye maisha ya watu. waliokufa ni wazazi, watoto ambao wana ndugu waliokuwa wanawategemea.

Kila mtu ana haki ya kuishi na kutojaribiwa au kupoteza uhai eti kwa kupima 'intelijesia' ya watu au chama flani.
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

Ninaposoma hili bandiko lako napata picha kwamba ulikuwa ulikuwa unandika ukiwa umebanwa uharo halafu uko kwenye foleni kuelekea chooni lakini foleni haisogei
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Kauli za kitoto hizo tena anayejifunza kuongea, kwa hiyo mmeshindwa kulinda raia si muwwachie wanaoweza kulinda haya mauaji yasien
 
wewe hujui wahusika wakuu wa kwanza ni Lema na Lwakatare,wanataka kuthibitishia uma wao si magaidi. chezea wachaga na wahaya wewe
Chadema iko makini
ndg.wahusika watatajwa hadharani muda c mrefu,kuna tetesi kuwa tukio
hili limepangwa na genge la watu 8 wakiwewo mkuu wa mkoa wa arusha na
mwigulu nchemba.
 
Kwenye siasa kuna uongo mwingi sana lengo ni kuwahadaa wananchi na kutafuta sifa zisizo za msingi na za kijingajinga ndo mana matamshi mengine yanatolewa kama hayo ya inteligensia na watu mkaamini poleni sana
 
dr slaa uwa ana jitapa kuwa chadema ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru chadema.

Intellijensia hiyo ya dr slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya ccm na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (tiss) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje dr slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

hizi fungus zinatoka wapi tena? Umefanya mpango huu ili aprrove inteligensia ya dr slaa, zt are sht mzaha hata kwenye matatizo
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?
Wewe ni mjinga kweli, milipuko inatokea hata Marekani na Israel ambako wamebobea katika inteligensia. Suala ni kiasi gani ulivyo na roho mbaya mpaka kuandika huu upuuzi.
 
Hapa kuna matatu;

1. Wenda Dr Slaa ni mzushi na hana intelijensia yoyote ile, sema uwa ana jibalaguza kwa wananchi kuwa CHADEMA imekamilika.

2. Kama intelijensia ipo, basi waitupilie mbali kwani imethibitisha kushindwa kufanya kazi zake za kukilinda chama, hasa kwenye mikutano ya hadhara, kwani ilipaswa intelijensia iwe na taarifa zote za kiusalama.

3. Wenda intelijensia ya Dr Slaa ni sehemu ya ilo tukio, kwani haya mambo yapo. Mfano, zipo serikali ambazo zinapanga matukio ya kigaidi ndani ya nchi ili kujenga hofu kwa watu, and then wanajifanya kuyakomesha ili iwe mtaji wa kisiasa. Hapa CHADEMA wamefanya hivi ili wapate public sympathy then wapate kura.

Lately, ndio hypothesis nilizo nazo kuhusu intelijensia ya Dr Slaa.

Mh!
Mbona hujawa na hypothesis kwamba huenda ni njama za CCM kuonesha kwamba:
1. CHADEMA ni chama kinachopanga mauaji ili kionewe huruma na kisha kipewe kura?
2. Wananchi waache kuhudhuria mikutano ya CHADEMA maana wakihudhuria kuna uwezekano wakauliwa/wakaumizwa-na hivyo kuwapunguzia uwezekano wa kupata mawazo mbadala ya yale ya CCM?
3. Ni mbinu ya kuonesha uchaguzi huo utakuwa na vurugu ili uahirishwe na kumwezesha Meya ambaye kachaguliwa nje ya taratibu awepo hadi 2015?
HIZO ulizifikiria au uliziacha kwa sababu zinaigusa CCM/Serikali?
Hazionekani kama INTERVENING VARIABLES kwenye hypothesis yako mkuu?
Kwa kuziacha,hudhani kwamba hitimisho lako litakosa uhalali wa kitaaluma?
Lakini mwisho,kilichinisikitisha ni ile hali uliyoionesha kwamba tukio hili ulilisuburia kwa hamu ili umnange DR.SLAA
Ndugu yangu, siasa zisitupeleke huko jamani...
Hivi vyama ni kama daladala, watu wanahama leo yuko huku kesho kule..!
WHY?
Because human beings are driven by interests.
 
Kumbe mmefanya mauaji makusudi ili kuonesha mapungufu ya Intellijensia ya CHADEMA?
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

Kwa hiyo nyie mmeua watu ili kupima interijinsia ya chadema?
 
Dr Slaa uwa ana jitapa kuwa CHADEMA ina intellijensia kubwa, hivyo uwa wana baini mipango mbalimbali yenye lengo la kuidhuru CHADEMA.

Intellijensia hiyo ya Dr Slaa ina daiwa kuwa na matawi yake sehemu mbalimbali, yaani serikalini, ndani ya CCM na kwenye mashirika mbalimbali ya umma.

Lakini pia ana jitapa kuwa kuna maofisa usalama wa taifa (TISS) ambao uwa wana ripoti kwake na kumpa taarifa mbalimbali juu mwenendo wa serikali.

Sasa iweje Dr Slaa awe na intellijensia kubwa namna hii halafu kwenye mikutano ya chama chake yatokee matukio ya mlipuko?

...asnatenti sana kwa mlicho kifanya,kumbe mmetulipua maksudi ili mje kutudhihaki hadharani..! ...Polepole magaidi wa kweli mtajulikana tu ..TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU...!
 
Back
Top Bottom