Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 5,071
- 7,772
Wakatoliki vipi sasa, Nchimbi wenu kabwaga
Ni MgogoKwakweli mvurugano mkubwa, Huyo VP si wanasema ni Mzanzibari aisee
Kwenye kura walitudanganya sana. Alafu wanahisi hii nchi labda ina watu vilaza sanaaa. Eti wapiga kura walioandikisha kupiga kura walikuwa Mil 35 then waliojitokeza kupiga kura ni Mil 32, Alafu mil 31 wakamchagua mama! 😄😄😄what a shame is this! Yani vurugu zile zote then watu wahudhurie kwa kiwango kikubwa kupiga kura kuliko chaguzi zote zilizowah kupita! Imagine kipindi cha Magufuli, uchaguzi ulikuwa na amani na Chadema chama kikuu cha upinzani walishiriki, Ila kati ya wapiga kura walioandikisha Mil 15, ni wapiga kura Mil 7 tu ndio walihudhuria kupiga kura!CCM wa siku hizi hawana akili kabisa.
Eti walishinda uchaguzi kwa 98% na kupata kura milioni 31 kati ya milioni 32 [jambo ambalo ni la uongo] zilizopigwa!
Hata mwaka haujapita, wameshaanza kufukuzana, kuvuana uanachama, na hata kutekana na kuuana.
Mimi sijawahi kuona wala kusikia mahali popote pale ambapo washindi wameshinda uchaguzi kwa kiwango hicho , kwa mandate kubwa kuwahi kutokea katika historia ya chaguzi duniani, halafu wanaishia kugombana ndani ya niezi michache tu tokea wajitangazie ushindi wao.
Washindi wa kiwango kama hicho cha kwao mtu ulitegemea wawe ni watu wenye furaha tele, wenye tabasamu na bashasha tele huku wakiendelea kutekeleza ilani ya chama chao.
Labda hawa wenzetu ni fantasists!
Ukweli ni kwamba sasa hivi hawaaminiki tena kwa wananchi.
Wapo wapo tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Otherwise, make it make sense.
Umewahi kuona wapi washindi wa 98% ambao huishia kugombana ndani ya miezi michache namna hiyo tokea huo ushindi wao mkubwa……
Ni dalili za utawala uliofitinika. Na unakaribia kuondokaKwenye kura walitudanganya sana. Alafu wanahisi hii nchi labda ina watu vilaza sanaaa. Eti wapiga kura walioandikisha kupiga kura walikuwa Mil 35 then waliojitokeza kupiga kura ni Mil 32, Alafu mil 31 wakamchagua mama! 😄😄😄what a shame is this! Yani vurugu zile zote then watu wahudhurie kwa kiwango kikubwa kupiga kura kuliko chaguzi zote zilizowah kupita! Imagine kipindi cha Magufuli, uchaguzi ulikuwa na amani na Chadema chama kikuu cha upinzani walishiriki, Ila kati ya wapiga kura walioandikisha Mil 15, ni wapiga kura Mil 7 tu ndio walihudhuria kupiga kura!
Nawaza kwa uongo wa namna hii, hata tafti zao watakuwa wanapika data sana hawa jamaa. Alafu wanajisahau kujipa maswali kbs!
Sura yake na muonekano wake ni wa kuleKwakweli mvurugano mkubwa, Huyo VP si wanasema ni Mzanzibari aisee
Tundu Lissu
akaita makamu?
Heche Akajibu boss
Lissu ongeza moto🤣 wameanza kutoana maini ongeza moto