Sahihi kabisa, tunapaswa kuangalia eneo husika kwa mtazamo / tathimini ya Miaka 10 ijayo, miaka 20 ijayo na kufanya maamuzi sahihi.I agree with you ....Nimechukua plot Kibaha kongowe kata ya Msufini karibu kabisa na Station ya standard gauge railway (SOGA) tayari kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda, Barabara zishaanza kuchongwa ...Kibaha is the best compare to Kigamboni
Umbali kutoka city centre to Kibaha kongowe ni 40km
Distance from City centre to kigamboni buyuni ni 50+ km
Hapo kwa mwenye kufikiria vizur atajua wapi akainvest
Coz kwa 1.5m+ ndo unaweza ukapata kiwanja kigamboni tena huko Buyuni ndani ndani..na pia kwa bei hiyo hiyo unapata Kibaha
Distance from City centre to Chalinze ni 100km ...Upo uwezekano mkubwa wa kuja kutanuliwa barabara ya Dar to chalinze ikawa double road
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Vigwaza utapata heka nzima kwa milioni tatu hadi mbili na nusu. Utajenga, utafuga na kulima mazao yako safi kabisa.Nipe bei za kibaha 3km -5km
Mkuu karibu vigwaza. Ni ukanda huohuo. Utapata eneo kubwa ambalo utafanya makazi na utafanya hadi ufugajiNatafuta kiwanja kuanzia Kibaha na kongowe viwe vya miradi
Sawa kabisa. Kwanza nimeona Rais anasema anataka kujenga barabara ya njia nne mpaka Morogoro. Hivyo ukanda wa kibaha, Mlandizi, Ruvu, Vigwaza mpaka chalinze patakuwa na thamani ya juu sanaI agree with you ....Nimechukua plot Kibaha kongowe kata ya Msufini karibu kabisa na Station ya standard gauge railway (SOGA) tayari kuna maeneo yametengwa kwa ajili ya viwanda, Barabara zishaanza kuchongwa ...Kibaha is the best compare to Kigamboni
Umbali kutoka city centre to Kibaha kongowe ni 40km
Distance from City centre to kigamboni buyuni ni 50+ km
Hapo kwa mwenye kufikiria vizur atajua wapi akainvest
Coz kwa 1.5m+ ndo unaweza ukapata kiwanja kigamboni tena huko Buyuni ndani ndani..na pia kwa bei hiyo hiyo unapata Kibaha
Distance from City centre to Chalinze ni 100km ...Upo uwezekano mkubwa wa kuja kutanuliwa barabara ya Dar to chalinze ikawa double road
Sent using Jamii Forums mobile app
UlimakafuMbondole utapata.
Kwa hiyo tuwahi vikwaza au sio!?Sawa kabisa. Kwanza nimeona Rais anasema anataka kujenga barabara ya njia nne mpaka Morogoro. Hivyo ukanda wa kibaha, Mlandizi, Ruvu, Vigwaza mpaka chalinze patakuwa na thamani ya juu sana
Changamkia fursa mkuuKwa hiyo tuwahi vikwaza au sio!?
Uzuri hakuna tofauti kubwa kati ya pwani na DarPwani haikwepeki
Nahisi mji utafika gairo maana tukifika morogoro tunarukia dakawa, tukifika dodoma tunarukia manyoni.Pwani haikwepeki
Miaka 60 ya Uhuru Dar bado haijaungana na Chalinze kwenye umbali WA kilomita 100.Nahisi mji utafika gairo maana tukifika morogoro tunarukia dakawa, tukifika dodoma tunarukia manyoni
Bei yake ikoje??Hivi vya Chalinze kama ikiwezekana weka namba nikutumie ramani ya hivyo viwanja ili ufanye maamuzi ni karibu na Kiwanda cha Tailisi Pingo
Daaah! πππ. Bongo sihamiZingatia huu ushauri.. Ila hata Mbezi unapata ila utajenga chumba kimoja tu.
#MaendeleoHayanaChama
Hiyo mil.2 ni pesa ya mboga ya Dalali π€πKuna watu mnajua kutania kweli unaamka ukiwa na sh 2mil unakwenda kutafuta kiwanja Kawe, Mbezi beach, Mbezi, Kimara?