Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

Binafsi Huwa nashonesha kwa fundi,ambapo gharama Huwa. Inangukia kwenye 90-150,000 kutegemea na ubora wa kitambaa nilichochukua.

Tafuta fundi mzuri akushonee,hakika utafurahi
 
Suti ya AI my friend !
Kwa nini mleta mada asishoneshe kwa fundi huwa inafika hadi nusu ya garama kwenye maduka rasmi.
Kwa fundi ipo Bora zaidi
😁Tupia moja ukiwa umevalishwa na Ai kwa faida ya members
 
Kwa dar hapa suti mhhh labda kwenye matukio Mimi sio mpenzi wahiyo mizigo ya kunitoa jasho muda wote , iringa mbeya Moshi njombe hapo mwake
 
za dukani nzuri ila baadhi itabd ukapunguze kwa fundi kutegemeana na mwili wa muhusika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…