Wapi AshaDii?

Wapi AshaDii?

Status
Not open for further replies.
MTM

Pata kitu cha Bi Malika kiitwacho "Subira" ukimsubiria FF

Kiri moyo wangu kiri, hebu wacha kusonona
Sima nayo kukujiri, kwa waja hili ni sana
Shetani asikughuri, ingawa dhiki waona
Subiri moyo subiri, lisilo mwisho hakuna

Usiwe utanikera, moyo usinikiriri
Jilazimishe subira, subira huvuta kheri

Moyo silete majuto, ukavunja wako utu
wala usifanye joto, hayo yafanye si kitu
ya dunia ni mapito, na ulimwengu si wetu
si wewe pekee mazito, humfika kila mtu

Moyo usipige fundo, ni bora stahamili
wala sibadili mwendo, ukajiona dhalili
moyo ni vingi vitendo, vijirivyo mbali mbali
pia kuna na maundo, lazima uyakubali

Usiwe utafikiri, mambo mengi moyoni
wala hayana tajiri, wala halo masikini
yalojalipo kujiri, kwako hayawi ni shani
subiri moyo subiri, subira ina imani

Moyo wacha kunikera, sinishikishe hatama
wala sifanye harara, ulo nayo ukasema
yataka uwe imara, usiwe ukalalama
jilazimishe subira, moyo subira ni njema

Last edited by a moderator:
Gaijin
kuna ile nyimbo inaimbwa hivi..

tulia mpenzi,tullia mpenzi...
tulia mpenzi nipate tulia.....

Kaimba nani? Mwanamme au mwanamke? maana wewe unaleta vipisi vidogo mno, mpaka kuvikumbuka huchukua muda
 
Gaijin umetulia sana aisee... nashusha pumzi tartiiibu na mambo ya pwani

subira yangu itanivutia kheri tu!!
 
Gaijin umetulia sana aisee... nashusha pumzi tartiiibu na mambo ya pwani

subira yangu itanivutia kheri tu!!

Nyimbo za enzi hizo, kila situation zinazungumzia. Na nyingi waimbaji ndio walikuwa victims tofauti na nyimbo za sasa, waimbaji ndo wababe!
 
THanks Ashadii for coming back to us. nilijua tu utarudi ila uvumilivu uliishinda subira yangu. unanijua sio mtu wa maneno mengi na sio mjivuni au mlevi kama Kaizer. ni mtu wa maneno machache na mazoezi (yote) kwa wingi! Sasa naweza ISHI kwa amani, now that we are back!
 
Manumbu nashukuru kwa kujali kwako... of all the people ambae huwa na wasi nisipokuwepo jamvini i have to admit it is you, i have been selfish in not kukuaga while knowing that.... sorry. ila tu bana yaani of all the people Manumbu you had to mention Kaizer... mimi nafikiri inastahili nikupongeze wewe for ulihangaika kwa kutuma a lot of pms and eventually kurusha uzi (next time vuta hata a month lakini... sina maana itatokea hio ni just in case)... Enways i am glad you are happy about my return....

Pamoja saana,
 
Kaisari ananiudhi kujisifu anajua ulipo wakati na yeye anakumiss ka' sie wote...tena bac wala hafanyi jitihada yoyote ya kukutafuta halafu analeta uvuvuzela hapa....aende uwanja wa taifa akawashangilie yanga kwa makelele yote...sio hapa
 
Hii sikuwa nimeiona. Noted and filed for future reference.... Subiri!
 
Kaisari ananiudhi kujisifu anajua ulipo wakati na yeye anakumiss ka' sie wote...tena bac wala hafanyi jitihada yoyote ya kukutafuta halafu analeta uvuvuzela hapa....aende uwanja wa taifa akawashangilie yanga kwa makelele yote...sio hapa

punguza hasira Manumbu... alikua anatania jamani.... mbona a lot of members walitoa maneno mengi ya utani?? come on bana....
 
Mtu yeyote atakayenionea Ashadii naomba amwambie babu ameamua kuwa bubu juu yake......... Amerudi kitandani kwa masikitiko kwa kuwa hajamtendea haki babu yake.
 
Inaumisa sana aisee!........yaani khaa!

Pole babu... vuta pumzi kwa nguvu... achia taraaatiiibuu....
haya basi pokea haya maji yametiwa limao husaidia saana
kwa mtu ambae heart beats haziko normal hasa baada
ya mshtuko au kukasirishwa....lol
 
I wonder if you will get to know why... try.... I first listened to that song on Saturday August 8th, 1998.

3D I have pondered on this but naona nime blow mapigo...lol
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Mwimbo huu mara nyingi nimekuwa nikimsikia Mkongwe wa Muziki Kassim Mapili akiuimba kwenye matamasha yake.

mkuu mimi simjui aliyeimba

but nafikiri unaitwa salha sudi

kwani huimba na kutaja hilo jina la

salha sudi
 
3D I have pondered on this but naona nime blow mapigo...lol

Hii ni siri ya "Taifa." But the date has only 10% contribution to my liking of the song, but it's true that date was great to me. Still that song has been very nicely composed. Just imagine, Celine Dion's My heart will go on replaced it from Number one but the song regained it's position. In February this year it has had some reappearances on certain charts. Truly Madly Deeply - Wikipedia, the free encyclopedia. This song was extremely popular that it had a record of staying on charts for 123 weeks just to be surpassed by Savage Garden's I knew I loved you before I met you. Darren Hayes has such a nice voice. These "Tough Guys" will support me

Last edited by a moderator:
mkuu mimi simjui aliyeimba

but nafikiri unaitwa salha sudi

kwani huimba na kutaja hilo jina la

salha sudi
Mkuu najitahidi sana kukutafutia huo wimbo, ila nashindwa kwa kukosa jina lake. Mimi nilikuwa nao huo wimbo ila ndio sikumbuki tena wapi nimeweka ile cassette.

Salha ni jina la kike, labda alikuwa akichombeza chombeza jina la maiwaifu wake, ah ah ah ah,
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom