Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Dah cku izi tangu local channel ziondolewe kwenye ving'amuzi baadhi hatupati madin mapya kabisa ili jukwaa ilikua hata kama ujaangalia isidingo mambo yote utayakuta hapa ila cku izi hakuna LA maana hakuna wacmuliaji wapi Numbisa na wengine wengi mic u people.
 
Lincoln ameHire walinzi binafsi toka Belarus ili kulinda familia yake na aweze kumalizia kitabu chake ambacho watu wanakihofia hawajui nini kitajiri!
 
Mie nafuatilia channel ya SABC 3 youtube. Ikirushwa South siku hiyo hiyo wanaweka online.

Zamani ilikua nakesha sana Kufuatilia marudio Jumamosi.
 
Back
Top Bottom