Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,238
- 22,664
Write your reply...
jaman leo nmeikuta mwishoni anybody anipe update
jaman leo nmeikuta mwishoni anybody anipe update
Jibu muwafaka sana hili....haiwezi kuisha na tutaendelea kuangalia
anyway sultani yenu inaisha lini?
ilikuwa siku ya wanawale walivyopigania haki huko South Africa , it was memorable yaani hamna. mwanaume aliyeonyeshwaHivi jana ni nini kilitokea?
ilikuwa siku ya wanawale walivyopigania haki huko South Africa , it was memorable yaani hamna. mwanaume aliyeonyeshwa
Hiyo siku ilikuwa jana huko south africa?
[/QUOTE sio jana ile ni episode tu ,
yah ilikuwa kuwakumbuka hao wamama waliopigania haki ya mwanamke leo itaendelea tu Kawaida nimeona tonightDuuh!mie sikuelewa chochote kwa kweli.
Thanxyah ilikuwa kuwakumbuka hao wamama waliopigania haki ya mwanamke leo itaendelea tu Kawaida nimeona tonight
Mie king'amuzi cha star times kilizingua,itv na eatv hazikuwepo!Dah! jana Tanesco wamezingua hata sikuona.
kumbe ni kote? Mimi niliWatch kupitia you tube na nimeenda mbele zaidi kama episode 5 hiviMie king'amuzi cha star times kilizingua,itv na eatv hazikuwepo!
walitangaza wanahama frequency naona ndo hii sasaMie king'amuzi cha star times kilizingua,itv na eatv hazikuwepo!
Namaind litoto lake linataka arudi jela...ila mzee akili nyingi kama the late mzee machacheLincoln ameHire walinzi binafsi toka Belarus ili kulinda familia yake na aweze kumalizia kitabu chake ambacho watu wanakihofia hawajui nini kitajiri!
Mie ndo sikuelewa kabisa. Tena jamaa anamwambia kabisa itakuwa vizuri tukifanya threesome. Duuuh!Jamani kwani Clive mbona simuelewi hiyo Open relationship mbona sijaielewa mwenzenu?
Ila yule demu simwamini sana anaweza kuwa na njama.Mie ndo sikuelewa kabisa. Tena jamaa anamwambia kabisa itakuwa vizuri tukifanya threesome. Duuuh!
Aibu niliona mimi.