Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Leo jumatano


Sechaba anaamka asubuhi na kukuta pete yake ya ndoa juu ya meza anaishangaa kisha anachukua na kuivaa na kwenda kazini,kazini akiwa ameketi ofisini kwake anatoa picha yake aliyopiga na Lerato anaanza kuiangalia

Gabriel anaingia ofisini na kumkuta Sechaba akiiangalia ile picha Sechaba alipomwona akaificha Gab akaanza kujifanya anamwuliza Sechaba mbn mapema yuko ofisini mkewe kamwacha ana siku2 n.k(mbea haulizwi)
Sechaba akamjibu afuate yake aachane na inshu za watu

Ntando na Kgothalo wanaonana sebuleni, Kgothalo anaonyesha kuwa na aibuaibu na kusema haikutakiwa iwe vile anajilaumu kitendo alichokifanya ila Ntando hajutii na kumwambia Dinner waonane waongelee lile suala
Kgothalo akataka kumwacha Ntando pale aingie kwny lift peke yke Ntando akawahi na kuingia wakawa wote humo Kgothalo akiwa hajiamini amini

Zandre katoka zoezi na yule CEO wa bokamoso mara CEO anamwambia Zandre kuna kitu kiunoni kinamuuma amwangalie Zandre kuchek akagundua ni mtego hakufurahia
(Zandre nae mwana kisebusebu na kiroho papo anamtamani sana tu yule Dada!)

Baadae CEO akakutana na Zandre nadhan alikua anampa ratiba mpya ya zoezi CEO ikabidi amwambie ukweli Zandre kuwa aache kuvunga wote wawili wana chemistry kwhy wafanye kweli Zandre akamchomolea na kusisitizia kuwa yeye ni mke wa mtu halafu ni Boss hivyo aache hizo habari

Ofisini Kgothalo akiwa katulia Mara Ntando anaingia na kutaka waongelee lile suala Kgothalo akamwambia sio mahala sahihi (Ntando nae asipoangalia atafumwa na babake)

Sibiya nae akawa anamchombeza secretary wa Sibeko gold! Ntando akamkuta pale anamwaga mistari akamzuia!

Lincoln amepigiwa sim ikiwa inaishia Kgothalo anaingia na kumwuliza (naona ile kesi yake inataka kuibuliwa tena)
Mzee Linc akamwita Ben na kumwomba amwangalizie kampuni yake yeye ndio anamtegemea amwangalizie mwanae Ntando maana ancestors wamekasirika anaona awamu hii hawezi kutoboa! Ni hayo kwa ufupi
 
Dah safari hii boya ntando kanifurahisha sana kugegeda kaghotalo!
Zandre na Selina ni ndanda kuchele! 😂

Sechaba tafadhali Sana msahau tuu relato!

Viben10 zandre na ntando oyeee
 
Write your reply...
mbona huyu kaghotalo anamfanyia ntando staki nataka?
nina vs lincoln beef jipya!
zandre naye seline kamganda na mumewe anajua
 
Write your reply...
mbona huyu kaghotalo anamfanyia ntando staki nataka?
nina vs lincoln beef jipya!
zandre naye seline kamganda na mumewe anajua
Hii ya Nina na Lincoln sijui itawafikisha wapi,lakini itakuwa bab kubwa. Pia soo ya Zandre na Seline nayo inaongeza hamu ya kusubiri episode inayofuata. Inashangaza mke wa mtu ana wivu kiasi kile. Duuuh! Tuliooa tuna kazi.
 
Hii ya Nina na Lincoln sijui itawafikisha wapi,lakini itakuwa bab kubwa. Pia soo ya Zandre na Seline nayo inaongeza hamu ya kusubiri episode inayofuata. Inashangaza mke wa mtu ana wivu kiasi kile. Duuuh! Tuliooa tuna kazi.
haha alafu kumbe mumewe clive anajua mkewe analiwa na zandre!
na kina sibiya nao wameanza yao kule chini,
 
Back
Top Bottom