Wapenzi wa tamthilia ya Isidingo

Vera ginger

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Messages
461
Likes
396
Points
80
Age
4
Vera ginger

Vera ginger

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2016
461 396 80
Nina anazidi kumwekea madawa Nikiwe na kujifanya a good friend a shoulder to cry on. Kat na Benjamin wanapanga kumsaidia Nikiwe wanakwenda ofisini kujaribu kuongea nae but anawakufuza na kumtuhumu Benjamin ndo amedrug.

Lerato anazidi kupaa juu na salon yake hadi anaanza kumsahau mumewe/kusahau majukumu yake katika ndoa. Yeye anawaza kuwa juu zaidi katika biashara ya Saloon na kapata mwaliko mwingine Atlanta.

Nyumbani kwa kina Anja baba yake aliwaambia amemwalika mtu kwaajili ya dinner,Anja akamwambia auntie yake ajirembe hawezi jua,Anja akamsaidia saloon kutengenezwa akawa wa tofauti kidogo,nyumbani jioni imefika muda wa dinner mlango unagongwa kufunguliwa ni Gabriel Anja na auntie yake wakawa puzzled and disappointed

Summary ya leo.. Siko vzr sanaa katika kuhadithia kama Numbisa but I have tried my best
Unaweza
Endelea na siku zingine mkuu
 
C

chekx

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
597
Likes
297
Points
80
C

chekx

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
597 297 80
Nikiwe anaendelea kusikiliza cm ya Rose(Mtumishi wa ndani wa Nikiwe aliyekua anamuwekea sumu ili awe anaweweseka kusudi Franki) iliyopigwa na Nina akimwambia asimtaje.
Nikiwe anampigia cm koth na kumwambia sio Ben aliyekua anamuwekea madawa ball ni Nina, ila anaenda kumkomesha. Koth anachanganyikiwa na akimwambia Rajesh anamuwah Nikiwe asijefanya kitu cha kipuuuzi.
Ben anakutana na Anja, the rec na wanapeana date. Nikiwe anaenda ofisini kwa Nina na kumwambia ukweli Nina anadata anachukua pisto anataka kumuua Nikiwe, wanaaanza kugombea pisto, gafla inamshoot Kgoth aliyekuaanaingia mlangoni.
 
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Messages
6,932
Likes
8,382
Points
280
Dreka

Dreka

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2017
6,932 8,382 280

Get some serious dwag
 
atug

atug

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,080
Likes
1,999
Points
280
atug

atug

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,080 1,999 280
Kat kalazwa hospitalini akiendelea kupewa matibabu baada ya ile gun shoot,Rajesh akiwa nje ya chumba cha Kat anaonana na daktari na kumuuliza chance ya Kat kupata ujauzito daktari anamjibu upo japo kwa uhakika zaidi warun some tastes na Rajesh anamjulisha afanye vipimo hivyo,daktari anamwambia vipi wameshakubaliana na Kat Rajesh anajibu kisanii kuwa ni mpango wao kupata mtoto. Baadae Nina anaingia alipolazwa Kat na Kat anamwambia atoke hataki kumwona maana alitaka kumuua,Nina anamwambia Nikiwe ndo alimshut,Kat ankatalia and Nina anamwambia Rajesh alikuja kwake na kumlaumu kuwa alimshot Kat. Rajesh baada ya muda anaingia alikolazwa Kat na kuanza kuongea nae,Kat anamlau kwann alienda kwa Nina Rajesh anajitetea hapo,Kat anamlau tena kwann amemwambia daktari amfanyie kipimo cha MRI behind her back? Rajesh anajitetea na Kat anamlaumu kuwa Rajesh yeye anajali swala la kupata tuu mtoto.. Rajesh anajitetea kuwa hakuwa na maana mbaya bali anaona kuna umuhimu wa kuendeleza generation yake maana umri unaenda but Kat hamuelewi ma kumwambia atoke chumba alicholazwa.

Anja still anaobsess na Ben,anataka kumtumia text anasita,wakakutana na kuongea Anja akamkumbatia Ben
 
Hivi Nikiwe alienda wapi baada ya lile tukio ?
 
Forum statistics

Threads 1,235,671
Members 474,707
Posts 29,230,185