Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Isidingo Thursday..

Wendy akiwa home anampigia cm morongwa na kumuomba aache kumtajataja kwa Clive kwani ataharibu. morongwa anaonekana kuwa mbishi. Ghafla Anja anatokea na kumuuliza Wendy kuna nn!?
Wendy anakata simu na kumuambia Anja kuwa yeye(anja) ni mdogo sana hawezi kuelewa kitu..

Hotelini:.. Sechaba wanajadiliana kuhusu issue ya meya kumtaka sechaba ajiunge kwenye jopo lake. relato anamshawishi mumewe akubali ila sechaba anakataa.

Shebeen : Nina anaingia na kukuta hakuna wateja. anamfokea cebisa na kumlaumu kuwa anampa hasara.

Wendy akiwa na lalage home wanaongea kuhusu Clive. lalage anamshauri Wendy aende police kumripoti Clive. Kwani yeye ndo alifanya Wendy aende jela. Wendy anakataa na anamuomba lalage aondoke hapo HD. lalage anakataa na kumuambia Wendy ataharibu parole yake na kurudishwa jela. so abaki na aende polisi kumripoti Clive. Wendy anaomba aachwe ashughulikie mwenyewe..

Hotelini : sechaba na Ben wanaongea kuhusu offer ya meya kumtaka sechaba ajiunge kwenye team ya meya. Ben anamtaka sechaba akubali hiyo offer sechaba anakataa kwa madai ya kuwa hataki kuwa mwanasiasa.

Shebeen : Nina anawaleta wadada na wadada hapo ofisini kwake na kuwapa huo mchongo wa wajiunge kwa danguro lake wasichana wanakubali..Nina anawaahidi kuwapeleka gym.

Saloon kwa relato.. Zandre anamfuata Anja na kumuuliza Wendy kwani anaonekana kuchanganyikiwa na anawajibu short short Anja anadai naye hajui kwanini..

Hotelini :sechaba akiwa na meya anakubali kujiunga kwenye team ya meya na kuwa mwanasiasa..

The rec :Wendy anamfokea muhudumu wa hapo kazini kwao. Anja anakuja na kumtaka Wendy asiwe na hasira. Wendy anadai hakuna kitu. Lalage nae anakuja hapo na anja anaondoka lalage anamtaka Wendy asihame mji ila amshughulikie Clive. Wendy anakubali..

Shebeen : cebisa akiwa anafuta Meza.anamuona msichana mmoja ana begi yupo kwa korido. Anamfuata na kumuuliza. yule msichana anajibu kuwa yeye ni jobless. Cebisa anamshawishi huyo msichana ajiunge kwenye danguro la Nina. (msichana anakubali)

Hotelini :sechaba anapiga story na morongwa kuhusu tukio la ujambazi lililotokea jana katika mji mwingine..

Home :sechaba na relato wakipata dinner. Relato anampongeza mumewe kwa kukubali offer ya meya..

Clive akiwa na mkewe Celine. mkewe anamtuhumu Clive kuwa anatoka na Wendy. Clive anakana. wanasolve yanaisha..

Hotelini :wendy anaenda hapo hotelini anakutana na Clive wanavutiana pembeni. Clive anamuuliza Wendy kafuata nn hapo?
Wendy anamtisha Clive kuwa atamkomesha kama yeye Clive alivyomfanyia (Wendy) Clive anaduwaa.....


Pancho boy..
Kwa kuongezea tu ni kwamba Wendy alimtishia jamaa kuwa atamweleza Sechaba A to Z kuhusu yeye Clive. Naona Clive atanywea. Congrats by the way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshukuru pancho boy

Miss madeko kutag kazi mno na bahati mbaya ID zinakua zimesahaulika hivyo watakaoachwa kwenye tag watajihisi vibaya


Nashukuru sana Numbisa but wish nianze kusoma uhondo wa Isidingo nimeacha toka walivyozuia chanel zote
 
Toka 1995 sijui 98 niko nayo huwa naacha kipindi fulani ila nikirudi naanzia hapo hapo naipenda balaa. Way back kipindi cha kina derick nyati na philipa
 
Back
Top Bottom