Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Mmmh kwamba amekimbia nchi kabisa ?Nadhani marekani, nimesahau state.
Mmmh kwamba amekimbia nchi kabisa ?Nadhani marekani, nimesahau state.
Ndio(kiigizo) kila wakimtaja wanazungumza kana kwamba yupo abroad marekani anakula maisha.Mmmh kwamba amekimbia nchi kabisa ?
Tupo wengi.Samahani hivi hapa mnaangalia ile inayorushwa ITV?
Ila wapo nyuma sana ,wanonyesha ya last year!
Mi mdau wa isidingo,lakini naangalia kwa u-tube hii ambayo ni current
Unaandikaje mkuu kuipata u-tubeTupo wengi.
Karibu.shukran mkuu
Unaandikaje mkuu kuipata u-tube
I hope ushenzi wake utakuja kuonekana baadae.
I hope ushenzi wake utakuja kuonekana baadae.
Hii Tamthilia ni sawa na Umri wanguMna moyo kweli, tamthiliya tangu kama sikosei 1995/6 iko tu na nyie manayo tu?