Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Mimi ni mhanga wa isidingo pia kwa hii wiki nimeskitika hakuna jipya zaidi ya marudio. Kama kuna anayeweza kutufikishia malalamiko itv afanye hvyo maana hawatutendei haki.
 
Isidingo iliniboa kitambo baada ya kuwa tamthilia ndefuuuu. maybe watunzi wanataka tamthilia yao iingizwe kwenye guiness book kama endless drama!
 
Miaka hii tv soap operas kama isidingo hazina mvuto sana.zinaboa.visa vyake vinachukua miaka mingi.mpango mzima ni tv series.nawasifu watazamaji na wafuatiliaji wa hiyo tamthilia.kwa kweli mnamoyo.
 
[Yeah, ataanza kuonekana soon, atarudi SA fro London kupitia Nairobi aliko sasa ili kuuza mgodi wake mmoja]Nasikia Derick nyati will be back baada ya kuwa nje ya isidingo kwa miaka karibu 20
 
Isidingo ze need
Egoli place of gold
Daaah miaka ile ya 47 hizo makitu bado zipo?!
 
Nasikia Derick nyati will be back baada ya kuwa nje ya isidingo kwa miaka karibu 20

yap he is coming.
Ja juzi j3 aliongea na Rajesh Kumar kwamba anakuja so naona ndo ujio wake tena kwenye isidingo.
 
Mimi toka ilipoanza naangalia mpaka leo, ila ya ITV ipo nyuma kama miezi 8 hivi

ni kweli ya kwetu huku itv ipo nyuma maana naangalia page ya isidingo ya wasouth huko ni matukio ambayo sjapata kuyaona.
MAHEPE hebu niambie sasa huyu mtoto wa Nikiwe atazaliwa? Na je Frank atarudi kwa Nikiwe au anamuacha aendelee na Carter?
 
Back
Top Bottom