Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ukiwa na shemeji kama sechaba usipomuelewa unaweza muona kero ila ni mtu poa sana. Leo sechaba kamfata gabriel kamkuta anaorder meza pale duncan akampa vidonge vyake aache kuchezea akili za wanawake.

Kamo kamkuta obakeng pale kwa sku akaanzisha maongez nae na kumualika salon kwao kwa huduma,jamaa anaonekana kuenjoy maongez mara aphiwe akatokeza,jamaa akaaga anaingia shift. Aphiwe kamaind.

Zukisa akawa na wasiwasi wa kibarua chake hasa baada ya kuipeleka pochi ya katlego mbele ya tyson,kaenda ongea na nikiwe ili kulinda kibarua chake akajikuta anaropoka ukaribu wa kat na calvin.

Gabriel hana furaha kwa zukisa kujihesabu kwenye kampen ya zam zam(alikua anatumika kama ngazi tu bila kuja)

On the way kutafuta ukwel nikiwe akaiba file kwenye pc ya baba yake na kwenda kuangalia ofisin kwake akakuta video ya mwisho wakat katlego anajibizana na linc ila haikufika mwisho. Akamfata linc na kumpa ukwel kuwa kaipata video hivyo haina haja ya kuficha ukweli. Linc akakubali kuwa kat ameshafariki,alimpush akadondoka.
 
Duh jamani maskini Nikiwe sijui kaipokeaje hyo taarifa! Dah
 
Asante
 
Jioni ile sijui usiku Sechaba kawakuta watu wake(ganriel na zukisa) kwenye dinner date akaanza mahubiri yake,zukisa akasirika ila sechaba akampa ukweli kwamba anahatarisha ajira yake kwa linc maana ile kampen ya gabriel haitakiwi na sibeko,naona neno limemuingia zukisa.
 
Thanx dia kwa kutuupdate
 
Papa G yupo ila haoneshwi sana kuna binti yake anaitwa nina zamdela

Matabane walirudi kijijini,hivyo hawaonyeshwi.
Naoamba Kuuliza

Hv Papa G, Zeb Matabane na Agnes Matabane wameenda wapi?

Sijaangali cku nyingi Isindingo
 
Back
Top Bottom