Wapenzi wa Rock music! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wapenzi wa Rock music!

Discussion in 'Entertainment' started by Apollo, Jul 27, 2011.

 1. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  Hi Tanzanians, i think hapa kwetu nchini kuna wapenzi wachache sana wa Rock, Punk, Electro and Gothic.. I think its time for us to support it. Kuna bends nzuri kama vile Linkin Park, 30 seconds to mars, One Republic na nyinginezo hazipewi kipaumbele katika radio chats, awards na tv chats zetu.. Only TBC International radio j3 mpaka jmosi saa 3 till saa 6 asubuhi and Chanel 5 (EAST AFRICA TV) jmosi saa 3 asubuhi mpaka saa 4. Mimi ni mpenzi sana wa Rock.. But nimekutana na watu wachache wanaoipendi hii miziki, i dont know why inakuwa hivyi! Lets support Rock Music. Nimegundua Kenya wanapenda Rock and inalipa kule. Hakuna muziki wa race, kila aina ya mziki ni ya wote. Nawatakia siku njema! Ya boy RoCKstaR!
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Bana bana.... napenda that kind of music.... infact nipo kumsikiliza Alicia na her new Rock Music... BUT si support kua tu promote... tunazipenda accidentally inatosha, naona sasa tu base na za nyumbani kwanza maana tuko nyuma mno katika hio sector, na bahati mbaya ni nyimbo chache saana napenda za hapa home.... IMO bora kwa tu promote za hapa...
   
 3. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  wow! its not bad..just follow ur interest.
   
 4. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  aaaiisee.... Ume diverge....
   
 5. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  i dnt thnk so! %-)
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  Sawa then naona nili mis-read..... Thanks....
   
 7. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  its ok! But i dnt think kuwa Alicia anaimba rock! Or may be ni Alicia mwingine and not ninayemjua mimi!
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  What i say about Music.... I say with heart... oh! I LOVE MUSIC... Vibaya mno!

  mpaka i believe sometimes it is bad for my health... na hivo nikisema kitu kuhusu

  Music... I KNOW... sio kwamba nakurupuka... ungekua ni mfuatiliaji mzuri saana wa hizo

  Foreighn music, utagundua kua Alicia katoa wimbo recently unaitwa "Rock Wit U"

  Upo in a Pop Rock style... (naona alilenga a new look na ku revitalize her music style)

  Bahati mbaya siwezi Upload ningekuwekea... thou napenda saana the video kuliko hata the music itself!
   
 9. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  wow! Hata mimi napenda music, but im addicted with Rock, Punk, Emo, Electrica and Metal...Na ninafurahi kufahamu kuwa nawe unapenda music! Music ni music haijalishi ni wa namna gani, ni bora kuwa na interest na kuipa kipaumbele! Thats good!yeah, i know that song but sio kivile. Haupo katika format ya real rock yenyewe kama other rock musics. Now dayz rock ipo juu, wasanii wengi wa hiphop na rnb wanapenda kutumia vionjo vyake, mfano B.O.B, Bruno mars, chris brown na t-pain ktk new track yao, pia wengine wanaoipenda kuituima kuna Lupe Fiasco, Birdman na the best known artist like Lil Wayne, wanaipenda kuweka vionjo vyake.. I like that!
   
 10. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Duh metal...? Nikienda sehemu wanapiga metal I walk out....
  Anyhow I like rock too but very particular na groups/bands etc etc...
   
 11. Apollo

  Apollo JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 4,889
  Likes Received: 1,369
  Trophy Points: 280
  mhh! Kuna metals nyingine nzuri. Me too, kinachonifanya nipende rock ni kuwa, napenda kuona live shows..pia i like guitarz and drum kitz.
   
 12. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  I have been to very few rock concerts Linkin Park, U2 na Lenny Kravitz hawa wengine nawasikiliza tu not interested in seeing them perform.
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ni kweli unalosema... ila B.O.B sio saana, Bruno Mars kabisaaa....
  na Ule wimbo mpya wa CB na TP... does it qualify kua Rock?? really....

  And i do agree kuhusu vionjo vyake.... (musicians) naona music saizi ina evolve
  Ila i second Eqlypz kwenye hio Metal Music.... i can not stand it.
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I have never been on a rock band live (apart from school of coz...lol...) I envy walowahi ona.
   
 15. GABOO

  GABOO Senior Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Rock music is da best,hata hapa bongo suma lee alishafanya track1,wa nje kuna wakali kama Bon jovi,the script,one republic nk
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Coldplay,metallica,3doors down,U2 yaani ni mzuka sana!huku A-town kuna sehemu kama empaya,vuavua na colobus unaweza pata vionjo vya hii miziki.
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  U2 always put up a good show...
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kuna Rock music za aina nyingi. Inaidi uwe specific.

  Kuna nyingine zinapishana sana sana.

  Mie mpenzi wa Soft Rock na siyo hai akina Mettalica.

  Joe Cooker, Phil Collins, Bruce Springsteen, Aerosmith, (The rolling stones na U2 design ni nyimbo chache tu napenda).............

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mkuu kuna wakati metallica"metal militia" huwa wanatulia sana mfano kuna pin linaitwa Nothing else matters limetulia ile mbaya lakini nyimbo zao nyingi ni heavy metal kama unasikilizia nyumbani lazima majirani wakushtaki kwa balozi.Kama unapenda soft rock jaribu kuwasikiliza coldplay hawa jamaa walikuwa inspired na U2 nina uhakika hata HE Ben Mkapa amewahi kuwaona wakipaform kwenye tamasha liliondaliwa na Amnesty intl.
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Naufahamu sana huo maana ni kama wimbo wao maarufu ukiongeza na Whiskey in the Jar.
   
Loading...