blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,694
- 9,600
Kuna nyimbo flani ya Bob ya kitambo sana inaitwa Adam and Eve umewahi kuisikia? Unaweza kulia.. jinsi song linavyo huzunisha!mkuu ujamaliza nyimbo za Bob wewe.
Kuna nyimbo flani ya Bob ya kitambo sana inaitwa Adam and Eve umewahi kuisikia? Unaweza kulia.. jinsi song linavyo huzunisha!mkuu ujamaliza nyimbo za Bob wewe.
Ni nyingi sana.. Lakini kwa leo wacha nisikie huu "Concrete Jungle"...Je, ni ngoma gani ya Bob Marley ambayo hadi leo ukiisikiliza unaona kama wimbo mpya kwenye masikio yako?
Nipe mkuuNikupe na mwingine wa long time ago Mkuu
Hahahahahhhhh mwanaume mashine.. .Zip ya sarawili ya bob mara nyingi ilikua open.
Anaitwa Cindy Breakspear, mama mzazi wa Damian.. Miss world 1976, alikula good time na mnyama Bob 1977/8..Hahahaaa ! Mkuu kapicha basii
BOB MARLEY - FOREVER LOVING JAHJe, ni ngoma gani ya Bob Marley ambayo hadi leo ukiisikiliza unaona kama wimbo mpya kwenye masikio yako?
MJUKUU WAKE SKIP MARLEY HE'S COMING UP INTO THE MUSIC SCENE IN REAL VIBE CURRENTLY... BOOOOMM FIRE!!!Je, ni ngoma gani ya Bob Marley ambayo hadi leo ukiisikiliza unaona kama wimbo mpya kwenye masikio yako?
Chief yaan mimi ni shabiki (vijana wanasema shabiki lialia) wa huyu legendary Adam and Eva ni moja kati ya nyimbo fikilishi sana za huyu kiumbe.Kuna nyimbo flani ya Bob ya kitambo sana inaitwa Adam and Eve umewahi kuisikia? Unaweza kulia.. jinsi song linavyo huzunisha!
Kuna nyimbo flani ya Bob ya kitambo sana inaitwa Adam and Eve umewahi kuisikia? Unaweza kulia.. jinsi song linavyo huzunisha!
Bob Marley – Adam And Eve
The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.
I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.
It's a devilman's affair,
In the shape of a serpent.
And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.
Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.
He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.
The lord named Adam and Eve,
To live a happy life.
In the garden of Eden,
But they disobeyed.
I wanna know,
Why they sin,
In the garden of Eden.
It's a devilman's affair,
In the shape of a serpent.
And they broke the fruit of life
And everyone of us is living in sin.
Any anywhere you go,
Woman is the root of all evil.
He was the first one to break a fruit
And everyone of us is living in sin.
Nimemcheck akiimba "CHANCES ARE " Akiwa na Marcia Griffith Dogo ana sauti nzuri ya kuimbaMJUKUU WAKE SKIP MARLEY HE'S COMING UP INTO THE MUSIC SCENE IN REAL VIBE CURRENTLY... BOOOOMM FIRE!!!
Jammin aiseee hii ngomaaaa hiiiiJe, ni ngoma gani ya Bob Marley ambayo hadi leo ukiisikiliza unaona kama wimbo mpya kwenye masikio yako?
Turn your light down low... Bob Marley featuring Laulyin Hill
Put It On by - The wailers Wailing band(Bob,Tosh and Bunny