Wapenzi wa reggae mkuje hapa

Wapenzi wa reggae mkuje hapa

Write your reply...Robert Nesta Marley ngoma zake zote Kali Kma stir it up akiwa na wakali the wailers redemption song, could be love, so much, no woman no cry, one love
 
Who the cap fit nayo ni my all time favourite.

Pia ile album ya Babylon by Bus inangoma nazielewa sana kama positive vibration. Nyingi zilikuwa kama Live Concerts.

Who the cap fit kwangu ni zaidi ya wimbo it is a philosophy
 
Unaitwa "Chances Are" ni kama blues fulani hivi.Uko YouTube.

Bob analalamika sana humo, halafu kuna mchizi anachombeza backing vocals bass fulani hivi. Siusikii watu kuutaja sana, lakini unanibamba kupita maelezo.

Wimbo simple lakini uko so touching.
Upigwaji wa midundo hautofautiani sana na redemption song umekaa kihuzunI flan na unagusa hisia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom