Halafu wana staha na aibu za kibinadamu kabisa, siku ya kwanza kumfuma na MKWE alikimbia na kujificha na alichelewa kurudi chumbani,alikuja mpaka dirishani akakaa hapo, yale madirisha ya wenzetu ni kimo cha kifua, nikambembeleza kama mzazi akaingia chumbani lakini alikuwa na haya na kujiona mkosaji kabisa
Tena ulibahatika sana maana paka huwa anaelewa vzr masuala ya siri kama kunya,kujamiiana na kuzaa mambo hayo paka hataki binadam ashuhudie
Kweli kabisa mkuu.... Hatamm kuna kipind nilikuwa nampa maziwa. Huyo paka alikuwa ananifuata hadi kitandan napo lala ananigonga na kucha kila ifikapo asubuhi ili nimpe maziwa
Paka wana akili sana na wanafundishika, hata atakapofanya kosa ukimtishia anaelewa siku nyingine harudii tena kosa kama hilo.
Mimi nilikuwa na kawaida ya kumpa mkono wangu anauramba na ulimi wake unasugua sugua kama msasa au kuna wakati nlikuwa namuingiza vidole vyangu mdomoni mwake basi anachofanya hakung'ati anakufinya kwa mbali sana sababu anajua mnacheza
Alafu wanaoenda kudeka sana ukikaa mara huyo kajilaza mapajani
Nmehisi wivu eti.....hahahahaaaa
Mama Mkwe farkhina je wewe unafuga Paka nyumbani kwako?
Kuna siku nilienda likizo Turkey...sasa ktk hoteli walikuwepo paka hivi wamenona Mmmmh !! Mbona nilihama hoteli ile.... na kukatisha hata utalii hapo !! farkhinaMmmmh! Ww jamaa
Paka nilikuwa nawapenda zamani sikuizi siwapendi nasikia wanatumiwa na nguvu za giza
Ni kweli wanapenda sana kudekaAlafu wanapenda kudeka sana ukikaa mara huyo kajilaza mapajani
My best Friend