Umenikumbusha mbali. Nikiwa mdogo Kaka yangu alimleta akiwa mdogo. Kalikuwa poa sana, nakumbuka kalipata jeraha baya sana kakafariki. Siku wanakazika chozi lilitoka.
Unapenda chui?View attachment 242132
Yah......hawa hawa..........japo wa kwetu hapo ni 2 tu...........
Labda mchina uyo..
Halafu wana staha na aibu za kibinadamu kabisa, siku ya kwanza kumfuma na MKWE alikimbia na kujificha na alichelewa kurudi chumbani,alikuja mpaka dirishani akakaa hapo, yale madirisha ya wenzetu ni kimo cha kifua, nikambembeleza kama mzazi akaingia chumbani lakini alikuwa na haya na kujiona mkosaji kabisa
my God.
Kwani wajua kihindi ?
Hako kanyau ukikaweka kwny nyumba zetu za kiswahili kakakutana na panya jero lazima amwagike
Hahahaah nyau nyau tu
My Sistaz, Nyumba yenye paka siishi ndani humo!! toka utotoni mimi na paka ni East v/s West !! sijui nini kilinisibu? farkhinaHa ha ha lol