Wapenzi wa nyimbo za injili tukutane hapa

Naombeni nyimbo hizi;
1-Kwa nini wasimama mbali
2-Mungu wangu mbona umeniacha?
3-Navumilia
4-Chenga ya mwili
ZOTE ZA KATOLIKI
 
Natafuta huu wimbo "Nimesogea mtini pake, unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako"

Muimbaji simjui lakini aliuimba Mwanaume mmoja vizuri sana kwa sauti tamu na kinanda kizuri cha kumtukuza Mungu.

Mwenye nao tafadhali autupie hapa.
 
Sioshwi Dhambi Diakonias Gospel Team Official Music Video Tanzania



I am not cleansed of my sins, Without the blood of Jesus, It is not pleasing to God, Without the blood of Jesus

Source : Diakonias Gospel Team
 
1 May 2022
Tunduma, Tanzania

Bado Unalia - Jehovah Nissi CCC Tunduma



Source : Jehovah nissi choir
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom