Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa

Wale wapenzi wa Anime tukutane hapa
Naombeni mnitajie Anime kali hasa za wajapan ikiwezekana mnisaidie na download link zake
Anime ambazo nimeangalia
1-HunterxHunter
2-Naruto(bado naendelea)
Hizo anime zote ulizoangalia ni shonen(action anime).
Unataka recommendations za genre ipi??
Kwa upande wangu nimebahatika kuangalia anime nyingi sana, kwasababu nazipenda kuliko animation za Hollywood, naweza kukupa recommendations nyingi nambie tuu unapenda genre gani?
 
Hizo anime zote ulizoangalia ni shonen(action anime).
Unataka recommendations za genre ipi??
Kwa upande wangu nimebahatika kuangalia anime nyingi sana, kwasababu nazipenda kuliko animation za Hollywood, naweza kukupa recommendations nyingi nambie tuu unapenda genre
Action ndo nazikubali
 
Anime kbs nillipend vipand vya mwanzo baada ya wapo uongo tu haha
Uliangalie zile episode 34 au zile special episodes??
Maana we ndo mtu wa kwanza unasema hujaipenda, kuna ma-legend wa anime nikiwapa waangalie hii wanaipenda sana wanakuja nishukuru nashangaa ww huipendi?
Au episode za mbele zilikuwa zinakuchanganya🤣🤣
 
Episod za mbele uko cjui nilikua nazionaje hahahah
 
Episod za mbele uko cjui nilikua nazionaje hahahah
Sema naweza kukuelewa, hio inatokeaga kwa watu wengi haswa wanao anza kuangalia anime ambazo zina story complicated, kama unapenda action sana kuliko story, bac tafuta hizi hapa ukimaliza hizo;
Demon Slayer(animation yake ni kali mno na ina action scenes kali sana but story wise sio complicated sana haiumizi kichwa kama Deathnote🤣)
Dragon ball super(hii ni mkono na vibe kwenda mbele🤣 hii ndo shonen iliyokamilika)
One Piece(one of my personal favourite bado naendelea kuiangalia haijaisha na Netflix wametoa live action yake)
Full metal alchemist; brotherhood(Hii ina bonge moja la story, very interesting)
Gintama
My hero academia
Tokyo revengers
Parasyte
 
Kama unapenda anime inayohusu science and knowledge tafuta Dr. Stone, nayo niliipenda sana, ina story nzuri na utajifunza mambo mengi sana ya science, ila kama hupendi science itakuboa tuu achana nayo.
 
Back
Top Bottom