Ukizikosa naomba uburudike na hawaNaombeni nyimbo hizi;
1-Kwa nini wasimama mbali
2-Mungu wangu mbona umeniacha?
3-Navumilia
4-Chenga ya mwili
ZOTE ZA KATOLIKI
Nashukuru kiongozUkizikosa naomba uburudike na hawa
Haidhuru mpendwa wa Mungu
Anaitwa Jackson BentyKuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"
Nisaidiane niupate wakuu.
Paul Mwangosi -NimesogeaNatafuta huu wimbo "Nimesogea mtini pake, unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako"
Muimbaji simjui lakini aliuimba Mwanaume mmoja vizuri sana kwa sauti tamu na kinanda kizuri cha kumtukuza Mungu.
Mwenye nao tafadhali autupie hapa.
Komando Wa Yesu - Pipipii (Official Video)
Asante..ila nimejaribu kuusaka sijaupata..je jina la nyimbo ni lipi?Anaitwa Jackson Benty