Wapenzi wa nyimbo za injili tukutane hapa

Kuna wimbo nineutafuta sana bila mafanikio.
Nimeusahau jina lake lakini nakumbuka kwenye chorus kuna maneno!!

"Jehova Nisi, jeeehova shalooo!!
Jehova Maaakalesh Jeehova shama!! Bwana twakushukuruuuu!!!

Kitu kama hicho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWENYE MAMLAKA (live) Cover Ulyankulu choir - NOUVELLE SEMNCE CBCA GOMA VILLE



Source: Guerchom Musavali
 
Yesu Ali-niita Njoo by Moses Zamangwa and Aflewo Tanzania 2018



Source: Moses Zamangwa
 
Dar es Salaam, Tanzania

Holy Is The Lamb By Krystaal Music/ Next Level



Source: Krystaal Music Official Channel
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu

Nipate jina la wimbo au link niudownload
 
Dar es Salaam, Tanzania

Essence Of Worship Ministries - Wastahili(Official Video)



Source : Essence Of Worship Ministries
 
Dar es Salaam, Tanzania

Essence Of Worship Ministries - Wastahili(Official Video)



Source : Essence Of Worship Ministries
Asante mkuu vp unayo version ya taratibu(ya kuabudu) ya wimbo wa Niguse wa Glorious celebration? kama unao naomba ushare hapa pia....ubarikiwe
 
Feb 2019
Krystaal Music with World Vision Canada The Shack Movie Tour with Author Paul Young 9 Cities in Southern Ontario, Canada
Song : More and More live

Hawa jamaaa nawakubali sana, hivi bado wako Arusha?
 
I love worship songs
Napenda kumuabudu Mungu
Kwa uzuri wa utakatifu wake.

Hizi nyimbo tunavyozisikiliza tujaribu kuweka utulivu ndani.
Mungu huwa anaachilia vitu kupitia hizi hizi nyimbo
 
Hawa jamaaa nawakubali sana, hivi bado wako Arusha?
Krystaal hawajawahi kuwa Arusha mkuu naona umewachanganya na sowers group ambao kwa sasa wapo Australia nilichat na mmoja wao juzi akasema watasikika soon krystaal wapo canada
 
Krystaal hawajawahi kuwa Arusha mkuu naona umewachanganya na sowers group ambao kwa sasa wapo Australia nilichat na mmoja wao juzi akasema watasikika soon krystaal wapo canada

Kabisa kabisa nimewachanganya mkuu asante sana, ni sowers bwana nilikuwa fan wao kitambo nikiwaona kny semina za Mwakasege. Kumbe wako Australia! Asante kwa info
 
Kuna nyimbo ya injili naitafuta..ya kiswahili..sijui nani ameimba..lyrics zake kwenye chorus ni "jehova nissi,jehova shalom..elio baba nakuabudu..jehova makaresh..jehova shama elishadai nakuinulia mikono juu"

Nisaidiane niupate wakuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom