Kama wewe unatumia Game la Efootball Ambalo ni offline modded basi Kuna Habari mbaya kwako 😃
KONAMI imetoa onyo kali kwa watumiaji wa Modded eFootball na programu zisizoidhinishwa zinazobadilisha mfumo wa mchezo. Ukiukaji wa masharti unaweza kusababisha akaunti yako kusimamishwa au kufungiwa...
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.