JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 471
Kabla ya kujibu nakupa mda uingie youtube hakika ndugu ukiwa na stress ndugu ingia youtube uangalie tu utasuuzika mtima
Karibuni dude hilo wazee
Karibuni dude hilo wazee
unamjua buster keaton mfatilie kwanzaChaplin namkubali nadhan more than hao
Yupi huyo mkuuMr.bean sio mchekeshaji wa dunia hii,yule anawachekesha hadi mazimwi
Yupi huyo mkuu
Kila mtu na mtazamowe.unamjua buster keaton mfatilie kwanza