Wapenzi wa Bus Simulator Indonesia tukutane hapa

Wapenzi wa Bus Simulator Indonesia tukutane hapa

Duh mpaka unapause unarudi tena baadae...
Mkuu kama we unazijua sana games naomba unitajie games nzuri za online maana nasikia hazinaga usumbufu kama nyingi za offline...
Ndio , huwa unapiga map kadhaa unapumzika tu.

Sina uzoefu na online games . Hii ndio game yangu ya kwanza kucheza online.
 
Hivi kuifanya iwe hivi unafanyaje wazee naona yangu kawaida afu nimeshaichoka barabara ni zinafanana
Issue ni Skin tu.
Pia barabara wanakua wanaongeza kwenye updates. So far hakuna major updates walizofanya.
Ili usiiichoke hiyo game cheza saan Multiplayet Mode

Karibu kwenye group la whatsapp. Link ipo post #1
 
Naipataje hii mkuu, page inaniambia not found
Ipo playstore hii game.

IMG_20200722_182059.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom