Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
- Thread starter
- #41
Sauli hiyo hapo. Kazi kwakoLete ya sauli mkuu wiki ijayo nataka nirudi zangu android na A51 huku ios pamenishinda
Sauli hiyo hapo. Kazi kwakoLete ya sauli mkuu wiki ijayo nataka nirudi zangu android na A51 huku ios pamenishinda
Asante,Nikitaka kujiunga kwenye ilo group jeSauli hiyo hapo. Kazi kwakoView attachment 1477098
Ngoja nitamcheki admin wake. Mi mwenyewe kwa sasa sio member. Au nikupm namba yake mmalizane juu kwa juu?Asante,Nikitaka kujiunga kwenye ilo group je
Fanya ivyoNgoja nitamcheki admin wake. Mi mwenyewe kwa sasa sio member. Au nikupm namba yake mmalizane juu kwa juu?
Mm siwez kuziweka izo skin naomba kuelekezwa mkuuKama skin quality sio nzuri , notify me nitakutumia kama document on whatsapp
Kwa android pia?
Pamoja sana. Ukihitaji nyingine usisite.Asanteee
Nahisi , mimi bado sijalitest.Kwa android pia?
Nawafahamu more than 20 player na hakuna hata mmoja ambae ana case kama hii.Hili gemu baya, very unstable gari linanesa sana msterling una lag ovyo plus makorokoro mengi yasiokua na maana
Unlock basi jinginem skin hiyo ni nzuri ila kwa basi hilo haika poa sana.
Bado sina Rp za kutosha mkuu za kuchukua chuma kaliiUnlock basi jinginem skin hiyo ni nzuri ila kwa basi hilo haika poa sana.
Cheki kwangu
Piga ruti ndefu mbili za carrier. Especially Bangkalan to Padang. Japo it may take up to 5hrs of playBado sina Rp za kutosha mkuu za kuchukua chuma kalii