Kama vipi tuliunde la whatsapp, au unasemaje?Hakuna ligi wa watz humu?
Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
Fanya hivyo mkuu... Wale jamaa wana tu kickout kinoma kwenye ligi zaoKama vipi tuliunde la whatsapp, au unasemaje?
Weka tiltUnaendeshaje mbona gumu sana stering yake?
MkuuKama vipi tuliunde la whatsapp, au unasemaje?
Sure. Tilt ni rahisi sana.Weka tilt
Nilishakutumia kule kwa lile groupMkuu weka ya dar xpress na ya marangu coch please naomba....
Nilishakutumia kule kwa lile group
[emoji849][emoji849][emoji849]hii ngoja nicheki ila vinanda vyake vipoYa King Msukuma haipo?
Tungis na Dar Lux zipo nipe muda kidogoWakuu naombeni ya tungi's bus,, ikikosekana basi hata ya dar lux,,
[emoji16][emoji16]
Zaidi ya masaa 6mkuu ruti ndefu sana ambayo umecheza ilichukua dk ngapi?
Duh mpaka unapause unarudi tena baadae...Zaidi ya masaa 6
Kutoka PADANG to BANGKALAN mwanzo mpaka mwisho wa Ramani.