Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,932
- 4,086
Ni wivu tuNaona mnazidi kutusagia kunguni
Habari ya USM Alger imeshakwisha inachotakiwa Nabi awasome sana Mamelodi sundown maana tunakwenda kucheza nao super cup.
Wana vipasi vyao vya uongo ndani ya 18 kama ilivyo Kwa Malumo.
Tunahitaji Taji la Super Cup lifike Jangwani.
Madunduka mtahama timu sana, mmetoka Gallants sasa USM Alger. Mlishawahi kuwa TP Mazembe mkakandwa..!!Shalom shalom
Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog (mbwa waliochini) kutoka nchini Tanzania, klabu ya Yanga Afirika katika fainali yq mkondo wa kwanza itakayopigwa jijini Dar-es-salaam kabla ya kwenda kumaliza mauaji yatakayofanyika jijini Algers ndani ya dimba la Stade du 5 juillet katika fainali ya mkondo wa pili na kisha kutawazwa kama mabingwa wapya wa kombe la shirikisho barani Afrika.
Kama kawaida hatoki mtu katika dimba letu hili la olimpic linalobeba watazamaji 95000.Ikumbukwe mara ya mwisho tuliwakanda Yanga Afirika mabao 4-0 hapa jijini Algers tulipokutana katika kundi D kwenye kombe la shirikisho mwaka 2018 ambalo klabu ya yanga ilikamata mkia na tunaimani tutawakanda tenda bao hizo nne zilizotukuka watakapokuja huku jijini Algers.
Ombi langu kwa mashabiki wa USMA tujitokeze kuipa hamasa timu yetu katika mchezo wa kwanza wa fainali utakaopigwa katika uwanja wa mkapa jijini Dar-es-salaam.
Asanteni
Hilo ndilo la msingiHabari ya USM Alger imeshakwisha inachotakiwa Nabi awasome sana Mamelodi sundown maana tunakwenda kucheza nao super cup.
Wana vipasi vyao vya uongo ndani ya 18 kama ilivyo Kwa Malumo.
Tunahitaji Taji la Super Cup lifike Jangwani.
Rudisha ile ID yako ya "Marumo Gallants" na kisauzi chako uchwara ili uonekane una akili hata za kuvukia barabara tu.Fan of USM ALGER DAMU NIPO HAPA
BA NTWA BA UTO
haya wale wapenzi wa jinsia moja uzi wenu ndo huu mkutane mjadili mambo yenu...Shalom shalom