TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,891
- 11,288
na wanaokesha kwenye mabaa wakila bataWaache wakeshe.Mbona kuna wanao kesha kwa waganga ili wapate mali na uongozi??????

umeongea vyema sana. nakuunga mkono kabisa. wapentecost ni watu wanaomjua Mungu kwa ukweli kabisa. mimi ninatoka makanisa ya pentecost...yaani makanisa ya kilokole yanayoamini ujazo wa Roho Mtakatifu kuwa ni wa lazima kwake yeye aaminiye. makanisa haya ni mengi sana, na yote yanajumuishwa kuwa ni ya wapentecost.
cha kufahamu ni kwamba, inawezekana, wakati mwingine, kukawa na mtu anayeleta imani fulani ambayo haina uongozi wowote wa Roho Mtakatifu, akaita mlokole na watu wakamdefine kuwa ni mpentecost...akachafua wapentecost wote. cha kuelewa ni kwamba, KITU CHOCHOTE AMBACHO HAKINA UONGOZI WA ROHO MTAKATIFU, HAKIKA YAKE NI UHARIBIFU TU. kwenu nyie mnaomjua Mungu, kama kitu haujaongozwa na Roho Mtakatifu,umeongozwa ether na chuki yako, elimu ya kidunia, ufahamu na hekima za kidunia, doctrine ambayo haikuanzia kwa Roho mtakatifu etc, hakika yake, mwisho wake ni aibu tu na huwa haufanikiwi..kwasababu kila jambo linalofanyika kimwili hilo ni la uharibifu. NDIO MAANA NI MUHIMU KUJAZWA NA KUISHI NA ROHO MT. ili akuongoze, na chochote atakachokuambia Roho, hakika yake hata kama unaona kama utapitia hatari fulani, mwisho wake ni mwema. ndio maana mimi nilisema, inawezekana kuwa, hao watu ni wa Mungu na inawezekana kuwa ni hekima ya kibinadamu tu au mchomeko wa shetani tu anayevaa sura ya malaika wa nuru....HIVYO, KAMA NI JAMBO LA KIMUNGU, LITASIMAMA, KAMA SI LA KIMUNGU, LITAISHIA KAMA WALE WASABATO MASALIA. pamoja na kwamba mimi hapo siungi mkono kabisa.
Shetani baada ya kuona watu wanaokoka na kuzijua nguvu za Mungu, anatumia mawakala wake wengi tu siku hizi ili waingie kama malaika wa nuru, kusudi walete picha chafu kwa watu wanaotaka kumpokea Mungu..ili shetani aendelee kuwa na kundi kubwa la watu wanaoelekea motoni....hivyo kila kitu lazima kipimwe kwa Neno la Mungu, na kwa Roho Mtakatifu.

Dogo nilijua tu utasema. Madrasa si ni yetu wote sasa hasira za nini? Kwa kukosa utetezi wa kupigwa mboko madrasa nimesema sijali kama wanataka kukaa huko wakae tu. Ni haki yao maana wako above 18 wanamaamuzi ya kiutu uzima.:becky:Kichwa ngumu ndio maana unapigwa mboko uelewe huhitaji mtetezi...na huko kwenye Qur'an uzembe hauhitajiki..dogo..
Hawa walioenda porini walikosa nini mjini? madrasa zote ziko town!
Ama kweli ukristo unakua palipo na wajinga..lakini watu wa mjini (wenye akili) hawawezi kukubali huu ulimbukeni..
Yaani kwako kusema nilipigwa viboko madrasa imekuwa issue ya waislam tena? si nilipigwa mboko? Sasa shida ni nini?tanzania maendeleo yatachukua muda kupatikana kwa vitu kama hivi. kwa kuwa wamekakosolewa wapentikoste lazima waingizwe waislam nao kwenye mjadala.
sheria ni msumeno tu, kama anaevunja ni mwalmu wa madrasa au mwalimu wa sunday school
Kichwa ngumu ndio maana unapigwa mboko uelewe huhitaji mtetezi...na huko kwenye Qur'an uzembe hauhitajiki..dogo..
Hawa walioenda porini walikosa nini mjini? madrasa zote ziko town!
Ama kweli ukristo unakua palipo na wajinga..lakini watu wa mjini (wenye akili) hawawezi kukubali huu ulimbukeni..
.
Hebu tukumbushane kidogo. Pango alilobanwa mbavu Muhamadi kwa mara ya kwanza alipotakiwa kusoma lilikuwa mjini au nyikani?
Hapa litawezapatikana jibu la wenye akili zaidi ni wa wapi.
Zion Dauta yaani huoni tatizo watoto kuachishwa masomo, na kuchapwa mboko ili waimbe mapambio kutwa nzima?
Wapentekoste Kanisa gani? Makanisa yao yana majina bwana eboKatika hali inayokumbushia kisa cha "Wasabato Masalia" kundi la kina mama Wapentekoste na watoto wao wameamia kwenye msitu huko ngara wakiziacha nyumba na familia zao katika kile wanachoamini kuwa wanatekeleza mapenzi ya Mungu ya kutotumia madawa yanayotengenezwa na binadamu huku wakikesha kuomba wakingojea "wanyakuliwe".