youngxulesh
Member
- Jul 18, 2018
- 33
- 23
Watapata tabu Sana Nasema watapata tabu Sana wameacha kusoma neno wanamsikiliza mtu mwenye biblia yake kichwan Acha awachukue mateka manyumbu hao Kwan watangoja mnooooooo



🤣nme cheka utazani mazuri .....Yawezekana nimoja wawale wenye GPA ya-------Aiseeee. Huyo kiongozi wao inabidi apewe Phd kwa hisani ya watu wa Marekani maana kuwashawishi watu wahamie porini si kitu kidogo.
ItakuwaVipi washanyakuliwa?