kwanini mliachana?
kuna mmoja wenu alikua hajatulia au?
sielewei hapa sasa.....
nisaidie kumuuliza basi!
huwa hatuongei
hata namba yake ya simu alininyima
nitakutumia email yake!
alafu nitakua nakuja kwako ... najua atanifata tu huko.. ndipo mtapo onana
ha ha haaaa
mtoto umekua sasa
looooh.