Heaven on earth tarehe kama hii ikiangukia ijumaa ina utamu wake. yaani Leo mimi na Savanna tu. Tusker lite leo zita nisamehe kwakweli.mie nawakumbusha leo tarehe 31 May 2013
ingwa ulichouliza kilinipita
Heaven on earth tarehe kama hii ikiangukia ijumaa ina utamu wake. yaani Leo mimi na Savanna tu. Tusker lite leo zita nisamehe kwakweli.
Kipaji Halisi hicho kiwanja kipo wapi? I must go wangumambo yote leo paleeeeeeeeeeeee..Runway kusheherekea Tuzo yao..kama club bora ya Africa...katika yale mambo yetu ya Night Life. vivian
Kipaji Halisi hicho kiwanja kipo wapi? I must go wangu
ndio hizo za kiingilio 20k?
shistito poa sana. In any case we can hook up together. hawa wanaume wa JF wengi wao huwa siwaamini. they are married my dear
shistito poa sana. In any case we can hook up together. hawa wanaume wa JF wengi wao huwa siwaamini. they are married my dear
mie mbona nipo single? Ni pm tupange utaratibu.
hao uliowataja wapo kweli.